Shoga yangu anataka kuwa mweupe

Shoga yangu anataka kuwa mweupe

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa
Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe na uangavu tu mwilini yaan sio weupe uangavu tu angalau akaribie hata robo ya maji ya kunde
 
hajielewi hajui kama miongoni mwa viumbe wanao potea barani africa pia ni wanawake weusi au wewe ndo unataka unasemea nafsi ya mwingine pia kubadirisha ngozi sio busara hata kidogo MUNGU hajakosea kumuumba hivyo anamakusudi
 
Shoga anataka kuwa mweupe!mwambie makonda hataki hata kuwaona
 
Endelea kumsaidia atoweke na rangi yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie anywe maji ya bahari kutwa mara tano
 
Akili yake ishakua nyeupe tayari xo atakua mweupe tu.
 
anunue labudjanise
na tube yake
na maji ya diva
achanganye[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa
Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe na uangavu tu mwilini yaan sio weupe uangavu tu angalau akaribie hata robo ya maji ya kunde
Si useme tu ww ndo unataka uwe mweupe!!

Kunywa maji mengi kama Rey
 
Back
Top Bottom