Shomari Kapombe na Israel Mwenda bado Wana vinyongo kati yao

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Hawa wachezaji wawiili bado wanauhasama kabisa inaonyesha bado wanadukuduku mioyoni mwao.

Angalia pale anapotoka kapombe huwa hawapeani mikono wala kukumbatiana hii ni hatari kwa timu ya simba
 
Hawa wachezaji wawiili bado wanauhasama kabisa inaonyesha bado wanadukuduku mioyoni mwao.

Angalia pale anapotoka kapombe huwa hawapeani mikono wala kukumbatiana hii ni hatari kwa timu ya simba
Kwani hiyo ni Sheria ya mzee kwamba lazima wapeane mikono au wakumbatiane? Mbona wabongo tunapenda kuongelea mambo yasiyo na tija.
 
Namkubali sana Kapombe na mpira wake ila naona kama anamnyanyasa Mwenda, hamtendei haki kabisa. Sijui hata huko kambini au mazoezini wanaishije. Msimu huu bado haujawa mzuri kabisa kwa Kapombe toka ngao. Katika moja ya mambo ya maana kocha wa taifa amefanya ni kumuita Mwenda pamoja na kwamba hapewi nafasi pale Simba. Ni muhimu sana kulinda vipaji vya wachezaji.

Kapombe nakushauri jishushe bro. Picha tunayoipata ni kuwa wewe ndiyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…