Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hiyo ni Sheria ya mzee kwamba lazima wapeane mikono au wakumbatiane? Mbona wabongo tunapenda kuongelea mambo yasiyo na tija.Hawa wachezaji wawiili bado wanauhasama kabisa inaonyesha bado wanadukuduku mioyoni mwao.
Angalia pale anapotoka kapombe huwa hawapeani mikono wala kukumbatiana hii ni hatari kwa timu ya simba