Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wanapiga kazi sana ila sidhani kama mishahara yao inafika Milioni 10 kwa mwezi

Mishahara simba kwa first eleven ni mizuri sababu mtu kama Manula 6 years back ndo alikua anapewa 5M
 
Bwana acha uongo hapo hizo fremu kapanga tu kachukua frem mbili Kuna kaduka uchwara hapo analipa laki 6 na anauza mchele mixer vitu vingine.
 
Tanzania tunathamini wageni kuliko wazawa shomari kapombe na tshabalala wangekuwa sio watanzania wangekuwa mbali sana mfano tu hapa bongo watu wanamdharau aishi manula kwasababu anacheza simba siku team ya taifa ikifungwa lawama zote kwake wanamlinganisha na yule mitege mr misifa kwasababu ni mgeni ila manula ni top class goalkeeper wa Africa sio Tanzania tu ila ndio hvyo nabii hakubaliki kwao.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Acha upuuzi hela hyo kama kweli analipwa asingeenda Dubai na kushusha mjengo kama ule aliojenga chanika nonsense

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
We endelea kushupaza shingo. Ngoja itokee amehitaji msaada kutoka kwa Jamii, ndio utaelewa 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…