Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hujui au ?Asee kumbe kipaji kinalipa ata kibongobongo
Ali Kiba, Diamond , Kapombe n.k Wanalipwa na vipaji vyao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui au ?Asee kumbe kipaji kinalipa ata kibongobongo
Bwana acha uongo hapo hizo fremu kapanga tu kachukua frem mbili Kuna kaduka uchwara hapo analipa laki 6 na anauza mchele mixer vitu vingine.Hasira za nini Mkuu? Yeye katoa mawazo yake tu na inawezekana Shomi na Zimbwe wanakula mishahara mizuri tu maana Zimbwe kuna sehemu maeneo ya Mwananyamala sokoni kajenga zaidi ya frem 20 eneo la Msikitini na ana nyumba nzuri tu Goba na usafiri wake Toyota Crown na juzi kapata shavu CRDB yeye , CHAMA na Aziz Ki sio haba kipaji chake kinampa maisha tofauti na Vijana wengi waliokaa Darasani zaidi ya miaka 10 na bado wapo tu mtaani hawana option
Acha upuuzi hela hyo kama kweli analipwa asingeenda Dubai na kushusha mjengo kama ule aliojenga chanika nonsenseZimbwe analipwa laki 7 after makato. Kapombe laki 9 after makato
We endelea kushupaza shingo. Ngoja itokee amehitaji msaada kutoka kwa Jamii, ndio utaelewa 😅😅Acha upuuzi hela hyo kama kweli analipwa asingeenda Dubai na kushusha mjengo kama ule aliojenga chanika nonsense
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app