Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
 
Kwa nini Shomari?
Au unazungumzia mambo ya ulimwengu ambao wengi tunausikia tu?
 
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
Kapombe ni beki pembeni mkuu.

Kwanini swadaka hiyo isitolewe na mabeki wa kati?
 
1651414144897.png
 
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
Mkuu tunajua kuwa Shommy The Way ni mkristo....
 
Shomari Kapombe alibadili dini kumfuata mke wake....Mam Ester
Ndio maana mama Ester anamtesa mpaka anafikia hatua ya kuomba msamaa hadharani.
Mwanaume kubadili dini kwa ajili ya mwanamke huo ni udhaifu mkubwa sana, Kapombe ameonesha udhaifu na mama Ester analijua hilo ndo maana anamsurubu.
Mwanaume anatakiwa kuwa na msimamo kinyume na hapo lazima uteseke. Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Shomari Kapombe a.k.a Dani Alaves wa bongo kafanya nini tena?
 
Back
Top Bottom