Fyuuu. Huyu naye jipu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fyuuu. Huyu naye jipu tu
Huo udhaifu wake ndio unamfanya aishi maisha ya furaha na mkewe. Aliyekuambia kung'ang'ania hizi dini za kuletewa ndio msimamo wa kiume ni nani?Ndio maana mama Ester anamtesa mpaka anafikia hatua ya kuomba msamaa hadharani.
Mwanaume kubadili dini kwa ajili ya mwanamke huo ni udhaifu mkubwa sana, Kapombe ameonesha udhaifu na mama Ester analijua hilo ndo maana anamsurubu.
Mwanaume anatakiwa kuwa na msimamo kinyume na hapo lazima uteseke. Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kuomba msamaha kwenye media ndio furaha? Mwanaume misimamo sio kulia lia kwenye media. Kama na wewe imekuuma ndo hivyo.Huo udhaifu wake ndio unamfanya aishi maisha ya furaha na mkewe. Aliyekuambia kung'ang'ania hizi dini za kuletewa ndio msimamo wa kiume ni nani?
Ukifikia umri wa kuwa na walau girlfriend ndio utajua sasa una mawazo ya kitoto sanaKuomba msamaha kwenye media ndio furaha? Mwanaume misimamo sio kulia lia kwenye media. Kama na wewe imekuuma ndo hivyo
Nina mke na watoto ila bado sijafikia hatua ya kuendeshwa na mapenzi wala mwanamke. Nimejiwekea kiwango cha kupenda sio mtu unapenda kwa asilimia mia matokeo yake unateseka na kuonekana kama limbukeni wa mapenzi.Ukifikia umri wa kuwa na walau girlfriend ndio utajua sasa una mawazo ya kitoto sana
Na hili ndilo lengo kuu la mtoa mada! Kupoteza muda kumjadili mtu ambaye ameamua kuchagua kuishi maisha yake.Ujumbe hapo ni kwamba Kapombe ni mkristo...
Haya wewe endelea na ubabe kwa mke wako acha wengine waisha maisha yanayowapa furaha.Nina mke na watoto ila bado sijafikia hatua ya kuendeshwa na mapenzi wala mwanamke. Nimejiwekea kiwango cha kupenda sio mtu unapenda kwa asilimia mia matokeo yake unateseka na kuonekana kama limbukeni wa mapenzi.
Kuomba ni sio tatizo ila unaomba katika mazingira yepi ndo tatizo.
Unaweza kuomba msamahaa mkiwa faragha, au mkiwa na mshenga wenu, au watu wazima mnao waamini katika jamii yenu au wazazi wa pande zote mbili au viongozi wa kidini.
Shida ni pale unapotaka wanaume wote waishi utakavyo weye,,,, weye siyo KIPIMO cha maisha ya yeyote ndugu maana hata hayo unayosema ya kuomba msamaha ni yale na wewe umemezeshwa na wengine,,,, hii dunia kubwa sana kila mtu apambane na hali yake, na yeye kamwomba msamaha mama Esther wake aliyemchagua mwenyewe sasa tena wewe AMEKUKWAZIA nini?? .......Nina mke na watoto ila bado sijafikia hatua ya kuendeshwa na mapenzi wala mwanamke. Nimejiwekea kiwango cha kupenda sio mtu unapenda kwa asilimia mia matokeo yake unateseka na kuonekana kama limbukeni wa mapenzi.
Kuomba ni sio tatizo ila unaomba katika mazingira yepi ndo tatizo.
Unaweza kuomba msamahaa mkiwa faragha, au mkiwa na mshenga wenu, au watu wazima mnao waamini katika jamii yenu au wazazi wa pande zote mbili au viongozi wa kidini.
Hakuna ubabe, ila unatakiwa utambue kuwa mwanaume ndio kichwa cha familia, nikimaanisha kuwa ndio kiongozi mkuu wa familia, so unatakiwa uwe mtu makini sana na mwenye misimamo isiyo yumba. Wenye busara mambo yao wanayamaliza ndani au kwa watu wenye busara zaidi yao.Haya wewe endelea na ubabe kwa mke wako acha wengine waisha maisha yanayowapa furaha.
Ur the true son of ur father