Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habari za siku nyingi JF members..
Nachukuwa fursa hii kuwataarifu kuwa @Shombelakisomali nimerudi tena baada ya kupigwa ban la nusu mwaka nzima..
Nikiri wazi kuwa nimeumia vyakutosha kwani nilikuwa napita humu kama guest pasi kutoa mchango wowote katika mada mbalimbali.
Niliwamiss sana wadau wangu ila leo nashukuru tupo pamoja..
Pia, nimejaribu kuwa mvumilivu ndani ya kipindi chote hiki nilichokuwa banned bila kufungua account nyingine kwani nimeapa kuwa account hii ni ya milele na sitaki nyingine mpaka mwisho wa JF..
Ban langu lilikuwa ndefu zaidi sidhani kama kuna member yeyote aliyewahi kupigwa ban ndefu kama langu toka JF iundwe, ila kilichonisikitisha zaidi ni kuwa @mods waliniongezea ban, maana walinambia ban it will be lifted on 24 September 2019 saa 1: 05 wao wamelipeleka/wamenifungulia 1: 47 ( Yaan ni addition of 42 minutes)
But anyway, nashukuru nimerudi tena toka kifungoni na MAISHA LAZIMA YAENDELEE..
ASANTE.