Shombe la kisomali come back again

Shombe la kisomali come back again

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari za siku nyingi JF members..
Nachukuwa fursa hii kuwataarifu kuwa @Shombelakisomali nimerudi tena baada ya kupigwa ban la nusu mwaka nzima..

Nikiri wazi kuwa nimeumia vyakutosha kwani nilikuwa napita humu kama guest pasi kutoa mchango wowote katika mada mbalimbali.
Niliwamiss sana wadau wangu ila leo nashukuru tupo pamoja..
Pia, nimejaribu kuwa mvumilivu ndani ya kipindi chote hiki nilichokuwa banned bila kufungua account nyingine kwani nimeapa kuwa account hii ni ya milele na sitaki nyingine mpaka mwisho wa JF..

Ban langu lilikuwa ndefu zaidi sidhani kama kuna member yeyote aliyewahi kupigwa ban ndefu kama langu toka JF iundwe, ila kilichonisikitisha zaidi ni kuwa @mods waliniongezea ban, maana walinambia ban it will be lifted on 24 September 2019 saa 1: 05 wao wamelipeleka/wamenifungulia 1: 47 ( Yaan ni addition of 42 minutes)
But anyway, nashukuru nimerudi tena toka kifungoni na MAISHA LAZIMA YAENDELEE..

ASANTE.
 
Mods natamani niwapake shombo zote lakini wahenga walisema mwenye nguvu mpishe na hii comment usishangae nikalambwa ban ya miezi 4,,, hahahahha makosa mepesi ban zake huwa ndefu ila makosa magumu na members maarufu ama wakongwe wanapewa ban fupi fupi,,

Watu wamedhalilisha members humu lakini wapo wanadunda,, hii inakirihisha sana

Mtandao huu unapoteza ladha kila leo
 
Inawezekana Mods wako kwenye kabineti ya mkuu, alishauri wafungwa wakiTUBU waachiwe ila WARUDISHE PESA YETU sasa umerudishwa humu umelipa?
 
'Ban langu lilikuwa ndefu zaidi sidhani kama kuna member yeyote aliyewahi kupigwa ban ndefu kama langu toka JF iundwe'.

Unamfahamu jamaa anaitwa malaria Sugu?
Nilipigwa ban isiyo na kikomo nikaja na ID nyingine.

Kuna ban huwa zinatolewa siku za wikiendi hizo huwa ni za muda mfupi ila zile za kuanzia Jumatatu, Jumanne na Jumatano ni kuanzia miezi sita hadi 10.
 
Inawezekana Mods wako kwenye kabineti ya mkuu, alishauri wafungwa wakiTUBU waachiwe ila WARUDISHE PESA YETU sasa umerudishwa humu umelipa?
Mie sio muhujumu uchumi was nchi, tafadhari..!!!
 
JuI hapa niliichezea kama utani kisa tuu nime coment uzi wa jamaa nikasema asante sana( ......)nikataja jina la mtu mmoja hivi yuko sekta nyeti kwa kweli nilipewa ya mwezi kama masihara hivi..
Ombi langu nilikuwa nawaomba wanapompiga mtu ban wasimwambie kosa tuu wamwanbie na hiyo ban niya mda gani maana wanatutoa kwenye uwepo hivihivi.
 
Mods natamani niwapake shombo zote lakini wahenga walisema mwenye nguvu mpishe na hii comment usishangae nikalambwa ban ya miezi 4,,, hahahahha makosa mepesi ban zake huwa ndefu ila makosa magumu na members maarufu ama wakongwe wanapewa ban fupi fupi,,

Watu wamedhalilisha members humu lakini wapo wanadunda,, hii inakirihisha sana

Mtandao huu unapoteza ladha kila leo
Wewe Dada Nimekumiss
 
JuI hapa niliichezea kama utani kisa tuu nime coment uzi wa jamaa nikasema asante sana( ......)nikataja jina la mtu mmoja hivi yuko sekta nyeti kwa kweli nilipewa ya mwezi kama masihara hivi..
Imbi langu nilujjwa nawaomba wanapompiga mtu ban wasimwambie kosa tuu wamwanbie na hiyo ban nina mda gani maana wanatutoa kwenye uwepo hivihivi.
Mkuu namimi hii juzi kati ilinikuta nilimtaja jamaa mwenye ID nyingi humu nikasema hii sio ...?nikajikuta nimechezea wiki 2.
 
JuI hapa niliichezea kama utani kisa tuu nime coment uzi wa jamaa nikasema asante sana( ......)nikataja jina la mtu mmoja hivi yuko sekta nyeti kwa kweli nilipewa ya mwezi kama masihara hivi..
Imbi langu nilujjwa nawaomba wanapompiga mtu ban wasimwambie kosa tuu wamwanbie na hiyo ban nina mda gani maana wanatutoa kwenye uwepo hivihivi.
Mbona wanashow na mda/wakati..!!
 
Ban kawaida tu ila ingekuwa kukosa papuchi hapo pangechimbika aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa mchangamfu sana humu jukwaan kula Ban iko.nje nje maana kuna vile vifurush vya kupiga story nje ya Mada nmeungwa sana enzi hzo
 
Back
Top Bottom