Shombo za Mond kwa Kiba

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
3,645
Reaction score
4,438
Naanza na kunukuu
"Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu

Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu asajiliwe na wakal hawa wa burudan Tanzania
Mara baada ya kauli hiyo iliibuka shangwe kubwa kutoka kwa mashabiki


Kisha akawauliza wamefel hawajafel
Wamefeliiiiiiiiii



Haya sasa japo hajatajwa mtu ila inajulikana tu nan kasemwa hapo


Huenda YouTube viewers zikaongezeka leo baada ya dongo hili

Asnten
Check video hapo

 
Rais wa wasafi kasema kuna mafisadi wanataka ligi na WCB wasafi hao nitalala nao mbele kwa mbele.
 
Mvumo wa radi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haipo hata kwenye trending...

Views zimegoma kuongezeka..

Ama kweli nimeamini bila bust ya mondi kiba hana lolote...ndio maana hataki bifu liishe
 
Ww mtoa posti ndo mzushi sasa apo ni kipi kilicho kuaminisha ayo maneno yamemlenga kiba...kwan kiba kafanya nin au kaongea ktu gan adi arudishiwe maneno ayo...au kutoa ngoma yake ndo kushindana na mond. Ngozi nyeusi bhana
 
Diamond angekaa kimyaa tu ungeona kiba anavyotapa tapa

haya mambo yanambeba ali kiba sana ndio maana anapenda bifu liwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…