kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Mwanga ndo maanaJamaa hajuagi kunyamaza, anapenda zengwe kama Haji Manara wa Simba.
Huyo boss wenu anafanya kila njia kumshusha kiba ila hawez mpaka anajifanya anataka kushikana mikono alikuwa na lake jamboMvumo wa radi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haipo hata kwenye trending...
Views zimegoma kuongezeka..
Ama kweli nimeamini bila bust ya mondi kiba hana lolote...ndio maana hataki bifu liishe
Boss wake na nani??Huyo boss wenu anafanya kila njia kumshusha kiba ila hawez mpaka anajifanya anataka kushikana mikono alikuwa na lake jambo
Mi nakwambia wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha kiba ila hawawezWw mtoa posti ndo mzushi sasa apo ni kipi kilicho kuaminisha ayo maneno yamemlenga kiba...kwan kiba kafanya nin au kaongea ktu gan adi arudishiwe maneno ayo...au kutoa ngoma yake ndo kushindana na mond. Ngozi nyeusi bhana
NyieBoss wake na nani??
ha ha kweli kabisa na hawatawezaMi nakwambia wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha kiba ila hawawez
Yaan ulivoandika unaonekana una roho mbaya sana na chuki binafsiAlikiba hauwezi mziki wa ushindani, Hawezi mziki biashara..
Clouds wamejaribu mmeba ila wapi, video ya juzi aliye andika script ni mtu wa ajabu, yaani Niko na mke wangu mtu anakuja na kusema mimi ni fulani, namtaka mkeo......
Bleach haikumpendeza.
Kiufupi kiba analazimisha mambo.
Angefuga hata kuku.
Hicho kinywaji chake hakitaweza shika soko.
Bongo mziki ni One man army. Ni sawa na movie enzi hizo
Hata walio juu hawataki pitwa na walio chini
polee mtt mzuriMi nakwambia wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha kiba ila hawawez
Pole wwpolee mtt mzuri
kweli...haaa haaDomo ana domo kama domo lake
Mimi sina bosi...Nyie
Hakuna anyemshusha kiba zaid ya mziki wake mwenyeweMi nakwambia wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha kiba ila hawawez
Mimi binafsi ninajiuliza amewezaje kuvumilia kwa siku zote hizi...huyu angekaa kimya angelipuka niamini mimi