Shombo za Mond kwa Kiba

Shombo za Mond kwa Kiba

Tatizo lake kiba anakaa muda mrefu sana bila kutoa nyimbo acha ajifunze sasa hiv
 
Kule kutaka kushikana mikono alikuwa na yake mwanga mkubwa sasa kimempata nn wakati yeye alisema hana tofauti na kiba aende mbele huko na uswahil wake
 
Mvumo wa radi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haipo hata kwenye trending...

Views zimegoma kuongezeka..

Ama kweli nimeamini bila bust ya mondi kiba hana lolote...ndio maana hataki bifu liishe
Huyo boss wenu anafanya kila njia kumshusha kiba ila hawez mpaka anajifanya anataka kushikana mikono alikuwa na lake jambo
 
Ww mtoa posti ndo mzushi sasa apo ni kipi kilicho kuaminisha ayo maneno yamemlenga kiba...kwan kiba kafanya nin au kaongea ktu gan adi arudishiwe maneno ayo...au kutoa ngoma yake ndo kushindana na mond. Ngozi nyeusi bhana
Mi nakwambia wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha kiba ila hawawez
 
Alikiba hauwezi mziki wa ushindani, Hawezi mziki biashara..

Clouds wamejaribu mmeba ila wapi, video ya juzi aliye andika script ni mtu wa ajabu, yaani Niko na mke wangu mtu anakuja na kusema mimi ni fulani, namtaka mkeo......
Bleach haikumpendeza.

Kiufupi kiba analazimisha mambo.
Angefuga hata kuku.
Hicho kinywaji chake hakitaweza shika soko.

Bongo mziki ni One man army. Ni sawa na movie enzi hizo

Hata walio juu hawataki pitwa na walio chini
Yaan ulivoandika unaonekana una roho mbaya sana na chuki binafsi
 
Mwanaume mswazishi huyu khaaaa huyu ukikaa vibaya anakusuta mpaka unalia
 
Mvumo wa mavi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] goma limebuma
 
Acheni hizo mambo zenu Diamond aliuchuna kimya huyo Kiba akaenda talk shit huko clouds, mtu akushambulie wewe ukae kimya haiwezekani, msimuonee huyu kijana, Kiba huwa anatafuta huruma ya wananchi na huwa anaipata sana.

Kiba toe to to with Diamond hawezi toboa jamaniiii ukweli usemweee
 
Nimesikiliza playlist ya times fm, Kiba anasema kuna hujuma imefanyika lakini hataki kuliongelea sana swala hili,
 
Back
Top Bottom