OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watanzania wote na wanaSimba mnatakiwa kujiandaa mapema. Kwa vipato vyetu kutungua suti dukani hiyo jumapili inaweza kuwa ngumu,anza kabisa kesho kuongea na fundi,mpe tahadhari ijumaa iwe imekuwa tayari,jumamosi ufue na iweke kwenye sanduku. Ili jumapili au jumatatu unakuwa ndani ya suti kali ukiwapokea wanyama Simba SC toka Congo wakiwa wametinga nusu fainali.
Wale wanaotudharau na kutukatisha tamaa hawajaanza leo. Wapo toka enzi za Nkana FC,lakini ajabu wakati wao wanacheza rede na kina Lipuli na Ndanda siye tunacheza football na Mabigwa wa Africa,African giants Al Ahl na TP Mazembe.
Bado muda kidogo watatuheshimu tu pale tutakapo washika mkono na kuwaingiza CAF Club Bigwa bila wao kuwa na uwezo huo. Mnapopitisha bakuli hakikisheni linatosha kupanda ndege mwakani mtakapo shiriki kupitia nguvu ya Simba
Kumbuka suti yako iwe na logo ya Simba SC kifuani mkono wa kuume