Washapona hawa Vyura basi bora Gormahia kashaelekea kibra, angekuwa stable angewabania ili atuzidi point wasishiriki, maana droo yetu wameshangilia Yanga km wamechukua uefaKweli kabisa. Amekubali kupigwa 2 bila nairobi, huko ugenini atakufa nyingi akijitahidi sare.
Kimoyomoyo vyura wamefurahi, waanze kuchangisha kibubu sasa hivi ili mwakani wasije wakalala airport hawana nauli ya kurudiWashapona hawa Vyura basi bora Gormahia kashaelekea kibra, angekuwa stable angewabania ili atuzidi point wasishiriki, maana droo yetu wameshangilia Yanga km wamechukua uefa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu duniani wanashangilia mafanikio ya Mpira kimyakimya!;Wewe unaita kelele wenzio tunaita shangweHii week kelele mjini zimepungua ila bado zipo-zipo..
lakini kuanzia jumapili kelele zitaisha kabisaa... story kuu itaanza kuwa kuiondoa yanga nafasi ya kwanza TPL...
Sie wazalendo suti tutashona, na kamwe hatuiombei mabaya club yetu pendwa... ila tu kelele zitaisha kabisa hapa mjini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeona hiyo Kuwait kaiwekea alama??Ana maana yake.Hajakosea,ila hujamuelewa tu
Simanzi gani??hujaona Croatia walivyopokewa kwa shangwe walivyorudi toka kombe LA dunia japo walifungwa fainali??kwa Taarifa yako hakuna team ya Tanzania iliyowahi kuvuka hatua ya makundi,Simba hii ndio imevukaSuti za misiba zinapatikana kwa bei gani?
Msiba huo utakuwa mkubwa sana na utaacha simanzi ya mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we NDO UMEPOTEA! amemaanisha kitu hapo ndo maana kaandika "Kuwait"