Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Survival for the fittestKama anataka kulia vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Only strong exist
Umeniwahi kwa comment yako. Roma alikua anaimba siasa, mbunge Ally Kessy wa Nkansi akasema anamtukana raisi. Wakaishia kumteka Roma wa watu! Kabadiki staili, wanafungia nyimbo zake na show zake. Huku kumuua njaa na kumkimbiza mjini.Jaman sasa Roma kaimba hiphop ngum wakamteka kabadil gia kweny soft mapenz Kibamia...wamemfungia....kwel Bongo bahati mbaya
"Hatuwezi" we na nani?Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
Ila kwenye hii vita Shonza atashinda mark my word, sababu Mkulu alishawahi kumuonya wazi Diamond lakini hakumtaja, alisema mtu ye anavaa vizuri mwanamke anamuweka uçhi, so kwa mawazo yangu ukichanganya na akili za Shonza naamini Shonza anafata maelekezo ya mkulu na nia ilikuwa kumprovoke Diamond awe mbogo , atoke nje ya mstari ili wamnyooshe, kwa inteview ile Diamond kaingia mtegoni, their soon going to take further actions against him and you will not believe.Unakumbuka siku Manji anamwita Makonda Umbwa ? What happened next?Only strong exist
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kutaja tu neno haleluya inaashiria ukristo unakua ,so wala hatuna neno naye,sisi wakristo tunaimani siku moja ataimba gospel .Bwana Yesu asifiwe mkuu!
Fallacy Prediction!Ila kwenye hii vita Shonza atashinda mark my word, sababu Mkulu alishawahi kumuonya wazi Diamond lakini hakumtaja, alisema mtu ye anavaa vizuri mwanamke anamuweka uçhi, so kwa mawazo yangu ukichanganya na akili za Shonza naamini Shonza anafata maelekezo ya mkulu na nia ilikuwa kumprovoke Diamond awe mbogo , atoke nje ya mstari ili wamnyooshe, kwa inteview ile Diamond kaingia mtegoni, their soon going to take further actions against him and you will not believe.Unakumbuka siku Manji anamwita Makonda Umbwa ? What happened next?
Jamaa anatulisha manenoMimi ni mkristo lkn sijakwazika na lolote lile maana najua ile ni kazi ya sanaa
Sijui nani kamtuma awe muongeaji wa wakristo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa anatulisha maneno
I hate this woman deep down my sh#t hole aisee....Kama anataka kulia vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lako ni kama la Juliana Shonza wote music umewapitia kushotoDiamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Ruge kamuingiza chaka huyu manzi aiseeAnaiamini nguvu ilioko nyuma yake..
Lkn na huyu mama amebugi kufunga nyimbo zote zile
Shonza na dada ako Zari nani maarufu?...Halafu mbona Zari siku hizi hasikiki yuko wapi tena?Wengi wana bifu na shonza ila nyimbo zilizofungiwa zinastahili kifungo. Shonza anapata umaarufu tu kwa kutajwa tajwa hadi raha