SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,714
mambo vp wakuu.. Ndo nmejiunga na JF, mwenyeji anitembeze tembeze humu ndan nivijue vyumba vinavyonihusu.
SHOOyaKIBABE
SHOOyaKIBABE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu,
mpokea wageni naona kaenda kuvizia posho hajarudi naye ni mmoja wa wabunge wa katiba, ila kwa muda unaomsubiri karibu jukwaa la siasa utatusaidia SHOOyaKIBABE ili tusingolewe kucha.
Karibu
Karibu sana ila hatutaki ufanye shoo ya kibabe humu JF.
Karibu sana JF...
Karibu sana jamvini
Karibu pitamoja kwa moja kwe jukwaa la katiba kaongeze nguvu waambie serekali ni tatu!
Atarudi lini
asante mkuu, kwa hiyo ww ni watu8 ndani ya mtu mmoja?
Sisi ni watu wanane tofauti...na tunatumia JF kila mtu kwa wakti wake
Karibu sana