Shopkeeper

Shopkeeper

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari wanaJF
Natafuta kijana wa kufanya kazi ya dukani,jinsia yoyote,awe na umri kati ya miaka 18 na 22 na awe mkazi wa maeneo kati ya kimara hadi kibamba,sio mbali na hapo,mawasiliano niPM.
 
habari wanaJF
Natafuta kijana wa kufanya kazi ya dukani,jinsia yoyote,awe na umri kati ya miaka 18 na 22 na awe mkazi wa maeneo kati ya kimara hadi kibamba,sio mbali na hapo,mawasiliano niPM.

mimi nipo mbezi kwa msuguri.
 
Naipenda sana kuifanya kazi hyo, lakini niko Mwanza na sina kazi utanisaidiaje? plz
 
Back
Top Bottom