KINSasante
Member
- Jul 1, 2024
- 6
- 28
Wakuu,
Tusaidiane kidogo ,Leo wakati nimekusanya vihela vyangu nikasema nipite shoppers ya MASAKI, ninunue vitu kidogo kwaajili ya mahitaji ya nyumbani.
Basi nimeshafanya machaguzi ya vitu natama nikaenda sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya SELCOM,Tigo.
Malipo yalitakiwa kuwa ni 51500, basi nikalipia ,wakakata kwenye salio langu, na kisha nikachuka mfuko wangu nikijua nimeshakamilisha, Ghafla naambia aiseeh bado hatujapa msg, subiri,.
Wakuu kitendo cha kusubiri, ilikuwa ni hekaheka, yaani nimesubiri nusu saa nzima, ikabidi nipige simu TIGO kujua hii swala linaendaje.
Nikapokelewa na kuambiwa ni kweli muamala umefanyika na shida ni network ndio maana hawajapata msg,hivyo tunaomba tukutajie serial no ili uwaonyeshe.
Aiseeh kitendo cha kuwaelewesha wale wahindi ,ilikuwa ni shughuli hawaelewi na wanataka nirudishe vitu nisubiri tu,...Nikapiga tena simu ilo waongee nae still hakukuwa na kuelewana.
Nimepiga simu kama 5 kwa TIGO, na kuambiwa nisubiri masaa 72, ya kazi ndio wataona kama itarudi kwangu au itaenda Kwao.
Sasa kweli kwa hali ya umasikini huu ,kweli hela imekatwa na kuna evidence zote na bado unaambiwa uache vitu mpaka wao wapate risiti.
Hivi hii ni haki kweli au ndio tunatafuta hela za kuendesha kampeni ka staili ya kudhurumu wananchi?
NIMEONDOKA NA MASIKITIKO SANA, nasubiri masa 72 nione kama hela yangu itarudi au niendelee kunywa maji kwa jirani.