joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Police shoot, kill Meru University student leader as protests turn uglyUpuuzi nilikuwa nafikiri Shoprite ni ya Nchi ya viwonder/Viwanda. Tanzania's Viwandas kwani they manufacture loudmouths?
Achana kwanza na mambo ya shoprite, kumetokea mauaji ya kinyama huko kwenu, vipi mpo kimya hamjali, au tuamini kwamba ninyi ni sawa na wanyama wa porini, kwamba maisha yenu hayana thamani?