Short Cervix

Short Cervix

pole kwa tatizo hilo. kwa uelewa wangu najua mdogo wako anatakiwa spate bed rest. maana yake ni alale tu kwa miezi iliyobakia huwa wengine wanakupa ushauri hivyo ukalale nyumbani sasa akina mama na sisi tukifika nyumbani tunajifanya sema kuanzia kujishughulisha kwa shughuli za nyumbani hapo ndo tunapoharibu. NB.Fuata maelekezo ya daktari for your own good hiyo ni indicator hatari but ukilala tu kwa miezi iliyobaki ni salama kwako.
asante
 
Back
Top Bottom