Short course chuo cha Bandari

Short course chuo cha Bandari

Anganjwiri92

Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
30
Reaction score
44
Habari wapendwa!

Naombwa kujuzwa ndugu zangu,

Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari kwa lengo kile cheti kinisaidie kutoka halmashauri kwenda kule tpa vp hili jambo linawezekana? Na ipi course mzuri ambayo haitanisumbua kwenye kuhama msaada please Asante.
 
Chukua ship crane

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Short course za pale nyingi sizan kama zinaendana na taaluma uliyonayo kukuweza kuhamishwa kikazi maama short course za pale nyingi ni zamitambo (forklift, reachstaker, mobile & ship crane, wheel loader nk) nk angalia hapa unaweza pata itakayo kufaa

Back
Top Bottom