Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Hela nyingi uliyowah kula bet ni sh ngap?Sasa hv nimekaa pembeni maana kipigo kilizidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela nyingi uliyowah kula bet ni sh ngap?Sasa hv nimekaa pembeni maana kipigo kilizidi
200kHela nyingi uliyowah kula bet ni sh ngap?
Sijawah bet kabisa nifundish200k
Sikushauri mkuu maana hata mimi nilivyoanza niliona kavisa ni njia ya kutajirika ila baada ya siku mambo yalikuwa nje ya nilivyojuaSijawah bet kabisa nifundish
Sasa mbona huachSikushauri mkuu maana hata mimi nilivyoanza niliona kavisa ni njia ya kutajirika ila baada ya siku mambo yalikuwa nje ya nilivyojua
Addiction tu sio kwamba kila siku nimepunguza sana wiki inaweza pita sijabet japo nahuwiwa sanaSasa mbona huach
Kuna nini 🤧ngoja nimuite Kwani Half american
hujasoma uzi huj vIzuriKuna nini 🤧
Half american kuja hukuBasi hapo zamani za kale katika kijiji cha Sitaoga, kulikuwa na binti mmoja aliitwa LeeJay
Alizaliwa katika familia ya kimasikini sana
Baada ya siku kusonga sana, kijiji kilipata ugeni wa vijana wawili mmoja akiitwa Gily na mwingine Half
Vijana hawa walikuwa ni marafiki na walikuja kusaka frusa za kibiashara katika kijiji hiko
zilipita miezi minane ambapo wale vijana mmoja alifungua duka na yule Half alifanya biashara ya upanguzi, biashara ya half ilifanikiwa sana na kuwa na pesa
Muonekano wa halfu ulikuwa bomba kuzidi ule wa Gily
Maisha yalikwenda mpaka pale siku ambayo kwenye kijiji aliingia kijana mmoja mtanashati jina lake Mtakatifu, huyu kijana alikuwa hana mambo mengi kozi alikuwa mda mwingi yupo na pc yake, kiumri ni mdogo sana kuzidi hao kina Gily na Half
Maisha yalienda na wale vijana wakawa marafiki siku moja wakasema twende tukapate ulabu, one and two tulifika kwenye kibanda umiza cha akina leejay49
Tuliagiza Gongo ambapo wanywaji walikuwa Gily na Half huyu Mtakatifu hakuwa mambo yake kabisa, Halfu yeye alikuwa na pigo za kubana pua sana, Gily pigo za uchagani mixer kubana pesa saaana, tajiri hapo alikuwa half maana ndiye aliyelipa bill ya kuchoma maini
Gily: Oya Mtakatifu uneona mtoto huyo
Mtakatifu: Mkuu huyu mtoto balaaa unaweza mwaga ubongo kunako 6 kwa 6
Half: Tafuteni pesa mbwa nyingi
Gily: Sema nini baridi Leejay njoo hapa bill juu yangu
Leejay: Oh ahsante sana
Kweli kiburudisho kilifuata kwa watu kunywa kusaza sana mpaka jicho halifunguki, kwakua Mtakatifu hakunywa akawa anampapasa bidada kuwa anataka show show
Leejay: Unashingapi?
Mtakatifu: Nina upendo na uvumilivu
Leejay: Kiazi wewe bora ungenidanganya unafanya kazi bank
Mtakatifu: Basi nibless dogo lako
Leejay: kwendraaaa nataka matajiri kwenye ukoo kwamza nina wadogo wa kiume tu
Mtakatifu: Anajiwazia(hii kenge inajiona sana kumbe tu mboga ya jamii na kwao maisha duni chumba kimoja dada na kaka)
Baadhi ya vijana waliketa ndimu a mdudu ili pombe iwatoke kina Gily na Half
baada ya hao wazee kupata hauweni Gily akaanza kutest zari kwa bibiye leejay
Gily: Nakupenda sana nauwalaza na ni muuza duka hutasumbuka kwa vichumvi na ndimu za unga
Leejay: Khaaaaaaaaaaaa unanichukuliaje bora hata ungesema unamiliki kiwanda cha moxtra
Gily: Mrembow mm nandoto na mipango ikitimia hutajuta pia nina mke nimemtelekeza mjini nimekuja kusaka pesa ninamtumiaga tu visenti
Leejay: Kwaiyo unataka kuja kunifia
Half: Bibiye achana na wasindikizaji njoo kwa sisi wenye misafara( akiongea kama dr kumbuka kwa sauti ya chid benz)
Leejay: kweliii stweetieeeeee
Half: Ndio mimi nilinunua kuzimu yote nikaifanya shamba shetani mpangaji tu pale, namiliki kiwanda cha pumzi ujue pia nandoto ya kuleta teknolojia ya kuishi milele bongo mimi sio wa hapa usicheze kabisa na mm ukapoteza bahati
Leejay:. Ohhhhhh jmn (kwa sauti ya zuwena) kweliiii?
Half: Twenzetu bibiye
Basi Leejay na khanga yake iliyokuwa na macho matatu nyuma (kutoboka) na kupauka moaka unashindwa kujua ni rangi gani, akafata nyuma mpaka getto kwa mshikaji
halaula Halfu akaanza mambo ya touch touch za hapa na pale ohhhh mpka muda wa kulina asali kwa jiti kijana kitwangio hakioneshi ushirikiano
Mammamamaaaaaaaaaa Half alisema
Leejay: Nini mpenz mbona wanitisha
Half: Nimekosea masharti ya mganga na lazima utapata adhabu
Leejay: Nakufaaaaa,
Mara akaanza kudumaaa na kugeuka kibwengo, na alitoka kwenda huko na huko kuchukua mali za watu na alipigwa sana kwani pale atakaposhika mali ya mtu aligeuka mrembo sana na vijama waliruka nae, ila baada tu hapo anarudi kuwa kibwengo tena hakukoma kwani kila baada ya kurudi kuwa kibwengo usiku ukifika hamu ya kuzama kwenye nyumba za vijana kuiba vitu humjia
Half nae alifukuzwa kijijini kwa vijembe nautajiri wake wa mazingara
Mtakatifu anapata nafasi ya kuwa Askofu kijijini hapo
Gily nae bia zinamuua baada ya kutembea uchi kijijini siri inafichuka anakibamia
MWISHOOOOOOO
UMEJIFUNZA NN?
Hapo kwenye kibamia najaribu kumpotezea mwamba Gily inakataa... ugonjwa huu kitaalamu unaitwa jamiiforumnism.
haha kibamia siku hizi ni fashion mzee 🤣🤣 nasimangwa sana humu.mshamba_hachekwi ni kweli kibamia changu Leejay49 anakielewa. Ila tatizo sio kibamia tatizo mbususu yake ina mwangwi🤣🤣🤣 wakati napiga deki nikapiga chafyaa afyaaa afyaaa afyyaa fyaaa yaaa aaaa aaa a .....
Lakini kweli penseli ili itoe mwandiko mzuri hoja isiwe ndogo au kubwa bali kichongeo kibane.haha kibamia siku hizi ni fashion mzee
Vichongea hivi hivi tunavyovijua sisi😀😀🤣🤣🤣 si kweliLakini kweli penseli ili itoe mwandiko mzuri hoja isiwe ndogo au kubwa bali kichongeo kibane.
Nimefika mkuu nitarudi nikiwa na utulivu wa kusoma, ivi kule kwa amiri, yunge zimeendelea.?Half american kuja huku
haha hazijaendelea kunyw huu mtori kwanza😀Nimefika mkuu nitarudi nikiwa na utulivu wa kusoma, ivi kule kwa amiri, yunge zimeendelea.?
huishi kunifatilia dear ex 😃😃😃
haha 🤣 sisi tuko kama wazunguhuishi kunifatilia dear ex 😃😃😃
sawa, nimekuelewa 🤗haha 🤣 sisi tuko kama wazungu