A amaa New Member Joined Feb 20, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Aug 20, 2011 #1 hello wanajamii kwa yeyote mwenye update ya ajira ofisi za bunge naomba kufahamishwa je wameshatoa shortlist zao???
hello wanajamii kwa yeyote mwenye update ya ajira ofisi za bunge naomba kufahamishwa je wameshatoa shortlist zao???
mshamu JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 418 Reaction score 134 Aug 22, 2011 #2 vipi unauhakika wa kuitwa au hawakusema kwamba wataatarifu wale tu waliowachagua?
W winifrida Member Joined Aug 9, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Aug 22, 2011 #3 watatoa ila wanachukua muda mrefu kidogo uwe na subira ndugu
TEMPOLALE JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 302 Reaction score 107 Aug 22, 2011 #4 Watakuwa wanawafanyia induction course walio wajiri, hivi hujui nyie msiokuwa na info vizuri mnakuwa wasindikizaji tuu???
Watakuwa wanawafanyia induction course walio wajiri, hivi hujui nyie msiokuwa na info vizuri mnakuwa wasindikizaji tuu???