Shortlist ofisi za bunge

Shortlist ofisi za bunge

amaa

New Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
4
Reaction score
0
hello wanajamii kwa yeyote mwenye update ya ajira ofisi za bunge naomba kufahamishwa je wameshatoa shortlist zao???
 
vipi unauhakika wa kuitwa au hawakusema kwamba wataatarifu wale tu waliowachagua?
 
Watakuwa wanawafanyia induction course walio wajiri, hivi hujui nyie msiokuwa na info vizuri mnakuwa wasindikizaji tuu???
 
Back
Top Bottom