H hamadoly Member Joined Jun 17, 2011 Posts 43 Reaction score 1 Jun 22, 2011 #1 Naomba kama kuna mtu anayefahamu advans na akiba commercial bank wameshatoa shortlists zao anifahamishe kwasababu nimeapply lakini kimya
Naomba kama kuna mtu anayefahamu advans na akiba commercial bank wameshatoa shortlists zao anifahamishe kwasababu nimeapply lakini kimya
Mdau Mkuu JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 233 Reaction score 46 Jun 22, 2011 #2 Ukiona kimya ujue ndo tayari,me pia kimya chao kimenifanya nijue tayari washaajiri bt cna evidence!
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Jun 22, 2011 #3 ndo hivyo meku..kimya kingiii
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 22, 2011 #4 Pole,wa2 2shafanya interview cku nying,na wengne 2shaanza na kazi.
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Jun 23, 2011 #5 advans bank interview ni kesho. watahiniwa walipewa taarifa jana via sms's and emails. sijui kuhusu ACB
advans bank interview ni kesho. watahiniwa walipewa taarifa jana via sms's and emails. sijui kuhusu ACB