NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Sirikali haina pesa, mngojea cha nduguye ...
sidhani kama ni kweli, kuna ndugu yangu alinionesha tangazo lao watu wanalipwa kwa scales za kisirikali.kile chuo hakitegemei hela kutoka serikal ya Jk
Bwana ngoswe ,nimeona si vibaya nkakusaidia maana naona JF watu wanachangia tu kama FB na haswa pale ambapo mtu kama ww unapokuwa unaulizia suala la msingi la maisha yako,kama mfanyakazi pale NM-AIST-ARUSHA napenda nkueleze tu kuwa hayo majina ndo yapo kwenye hatua za mwisho za "screening" maana chuo huwa kinafanya kitu kinachoitwa "circularizations and vetting" yani confirmations kwa third parties kule ulikosema umesoma na umefanya kazi na mengineyo,ni zoezi gumu maana sa nyingine people are reluctant to show a positive confirmations ila usiwe na wasiwasi ,chuo hiki ni miongoni mwa vyuo ambavyo havina 'memo' ni competence na experience yako itakayokusaidia ,nyc time

Tunahitaji majibu kama haya, mtu ukiwa huna detail tafadhali kula bati kuliko kutoa majibu ta kukatishana tamaaa,Bwana ngoswe ,nimeona si vibaya nkakusaidia maana naona JF watu wanachangia tu kama FB na haswa pale ambapo mtu kama ww unapokuwa unaulizia suala la msingi la maisha yako,kama mfanyakazi pale NM-AIST-ARUSHA napenda nkueleze tu kuwa hayo majina ndo yapo kwenye hatua za mwisho za "screening" maana chuo huwa kinafanya kitu kinachoitwa "circularizations and vetting" yani confirmations kwa third parties kule ulikosema umesoma na umefanya kazi na mengineyo,ni zoezi gumu maana sa nyingine people are reluctant to show a positive confirmations ila usiwe na wasiwasi ,chuo hiki ni miongoni mwa vyuo ambavyo havina 'memo' ni competence na experience yako itakayokusaidia ,nyc time