Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!


hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......

basi tupeane hfadhi, mweeee!
 
He! sasa manii kuwa nyingi tatizo..zikiwa chache tatizo...lipi jema?
 
Kweli simba mwenda pole....kama hao wadada wanatembea na wanaume wengine in the same ofice, hiyo chain itakuwa balaa Mr AIDS akipita. Du kumbe watu bado elimu ya condom imepita mbali!

acha kabsa mkuu! kuna kijiji kinaitwa chamwino ikulu kule dodoma, niliwahi kupita kufanya survey moja, nilishangaa kila binti kati ya umri wa 15-19 ameshazaa. Nikamuuliza njemba mmoja kwanini wamewazalisha karibu mabinti wote kijijini akanambia sex kwa kutumia condom hainogi kabisa. Unategemea nini toka kwa mtu wa aina hii? Haka kadunia kanaelekea kuwa ya mimea na wanyamapori pekee!
 
My take: Jamani kina dada muwe mnatuhifadhi walau kidogo hasa kwenye mambo ya 6x6 please, msitudhalilishe kiasi hiki.

Mhifadhiwe nini ambaye anafaa kuhifadhi siri yake amemuacha nyumbani kwa kutaka kuchovya kila kinachopita mwache yamkute.

Halafu sasa naanza kuamini kuwa wewe utakuwa ni paparazi, maana kwa kupenda story zakina dada. Mara watuletea story za kwenye daladala mara za saluni na sasa za kazini eeeh bwana we haste haste pls
 

Wanawake dizaini yako nawapenda sana wakali lakini hunasa katika tundu bovu. Tena according to my experience ya ukiwembe kabla sijaoa wanawake dizaini zako mkiwa kunako sita kwa sita lazima chozi likutoke mkiwa katika climax au jina jengine kilele maana huwa mnahamisha zile hasira za wanaume katika raha ya mapenzi. Na dizaini yako huwa mnapiga sana makelele kitandani na mkishanasa mnakuwa mmeganda. Wagumu kunasa ni wanawake charming na wacheshi usiwe mkali Smile shauri yako!!!!
 

smilelicious... Umenifurahisha sana mpaka nikajiuliza hv! Have u ever been tendwad by tenderer?..
 

Ndyoko hiyo avartar yako dah!!
 

hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......

Mwanamke anadhalilishwa kwa 20% na 80% hujidhalilisha mwenyewe. Kwa mfano: Mijanamke 4 iliyokosa haya inagawa makopo yao na kuyafanya ya jiji kiasi imechomekwa mpini na njemba moja na bado haioni aibu ndio kwanza inajisifia ikiongea na kucheka, hapo utasema wamedhalilishwa au wamejidhalilisha kwa kujirahisi kama dust bin ya mtaa?
 
Duh kweli huyo jamaa ni kipanga mla watu . Alafu mkuu ndyoko inakuwaje mtu anavuna madem 5 yeye pekee yake . Nyie wanaume wengine mnafanya nini ? Mnatakiwa mfunguliwe mashtaka .

Ninachokiona hapo kazini kwa kina Ndyoko ni kuwa short listed kwao ilikuwa kuvaa nguo fupi. Haiwezekani ukawa na wafanyakazi wahuni kiasi wanabanduana humo humo ofisini, hivi kuna kazi hapo au ni studio ya kufundia?
 
smilelicious... Umenifurahisha sana mpaka nikajiuliza hv! Have u ever been tendwad by tenderer?..
Wala wangu kila mtu ana principles zake kwenye maisha. Sipendikujidhalilisha wanaume ni wengi tu mbona
 
Dah!! kaka umenisaidia..... nina the same experience na akina dada wa aina hii...huwa wanatumia defensive mechanism kwa sababu hawawezi kuresist moves za wanaume....huwa wanajifanya wakali lakini huwa ni watamu na wanalika vizuri sana ukiwapatia...dah umenikumbusha mbali sana.......wale mapepe na chakaramu huwezi kuwala hovyohovyo maana wanaongea chochote hata kabla hujawatokea!!!!manake wanajichanganya tu na wanaume.....kwao siyo ishu ...kuliwa mpaka wakipenda wenyewe....
 
nini kilikufanya ukatishe maongezi ya wadada poa wa ofisini kwako Ndyoko? au ulijua stori itakayofuata itakuwa yako???:lol:
 
Wala wangu kila mtu ana principles zake kwenye maisha. Sipendikujidhalilisha wanaume ni wengi tu mbona

i like pepo like u!... Hongera kwa kujiheshim kwa siri na kwa dhahiri...
 

Mara zote anayewatafuna mademu huendelea na wengineo kuwatafuna sababu ya kuhadithiana ,yaani kama kuna ambaye hajapitiwa na jamaa hapo ofisini lazima mbunye itamuwasha then ataliwa kirahisi....you will never know with women! hata ofisini kwangu tuna jamaa anayewashughulikia wakina dada ipasavyo kwa sababu wanapeana stori ....kwa hiyo wanataka kujaribu ,kukomoana nk....
 

Ktk green, mnataka kusitiriwa, nyie mnatusitiri? Afadhali hata hao walikuwa wanaongelea ofisini, hopping no one is listening.
Nyie ndo huwa mnajikusanya kijiweni na kutudhalilisha hadharani, tena wakati mwingne mnasubiri msemwaji apite, mnaanza kumchambua mwanzo mwisho. Ngoja na nyinyi yawapate.
 
Kwa kuwashauri hawa kina dada, mtu wa hivyo anatakiwa kukamuliwa kwanza MANII kable ya tendo la ndoa.
 
Sijasema nachukia wanaume ofisini nafanya kilichopo kwenyejob description yangu basi
Ili niweze kufanikisha malengo ya mwajiri wangu.sasa kungonoka kunasaidia vp kumeetorganizational goals hapa?
Craaaaap .nitalisimamia hilo daima
 
Sijasema nachukia wanaume ofisini nafanya kilichopo kwenyejob description yangu basi
Ili niweze kufanikisha malengo ya mwajiri wangu.sasa kungonoka kunasaidia vp kumeetorganizational goals hapa?
Craaaaap .nitalisimamia hilo daima

Smile are you familiar with networking and team work. In networking and team work interpersonal skills is essential and very important ukiwa feminist hutaweza kumeet hata hizo organisational goals. Kwasababu organisation ni watu na watu ni sisi (Wanaume na wanawake). Sasa if you have issues with men mwishowe utaonekana ni feminist, extremist na mwisho wa siku unaweza kutimuliwa vile vile kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…