Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

..Acha kusifia Ujinga Ndugu. Ukishamaliza kijiji kizima halafu, what next. Utakufa Tutakuzika, full stop.
Sihitaji kukua ili nione Wanaume wanaotembea na wanawake kijiji kizima, acha nibaki hapa. Tangulia.

Mjinga kweli wewe! Huenda wewe ni mmoja wa walioshusha mistari kwenye mithani ya NECTA mwaka jana wewe.
 
Teamwork ya kushear mwaume mmoja wanawake watano tena mwenye mke.loh kweli hii nizaidi ya team work
Mimini mtu wa watu sana tena sana. lakini kila kitu kina kanuni zake mkuu

Well ujogoo sio team work bali ni concubine which is pathetic to be honest. But uliposema mwanaume akikufata mara mbili mbili unamchukia that is an issue kwani you are very defensive and feminist. Na zaidi ulipodai kuwa unamchukia ndio nikakuuliza are you familiar with team work and networking. I do not entertain infidelity at all but usimchukie mtu kwasababu ya gender yake that is purely feminism which I do not support also.
 
Mwenyemaamuzi ya kumegwa ni mimi mkuu . na hilo lisingewezekanika kamwe .llabda ningeishia kukumega wewe

Na mara nyingi wanawake dizaini yako huwa wananimega enzi zile ambapo huwa wanakubali wenyewe ila ndio nakuwa nishakumega hivyo ohoo!!!
 
mwanaume mtamu ni yule mwenye mmls kiduchu ila zimtokazo kwa taabu
 
acha kabsa mkuu! kuna kijiji kinaitwa chamwino ikulu kule dodoma, niliwahi kupita kufanya survey moja, nilishangaa kila binti kati ya umri wa 15-19 ameshazaa. Nikamuuliza njemba mmoja kwanini wamewazalisha karibu mabinti wote kijijini akanambia sex kwa kutumia condom hainogi kabisa. Unategemea nini toka kwa mtu wa aina hii? Haka kadunia kanaelekea kuwa ya mimea na wanyamapori pekee!

Honestly speaking; wewe unaona sex with Condom inanoga? Si vijijini tu, hata wasomi wengi na hata wazungu na wengi wetu humu humu JF hatupendi Condom!!!!! Unafiki hausaidii. Si ajabu huyo jamaa yako hata hao wadada at least mmoja wao ni member humu na naye anajifanya kushangaa!

Na ndio maana tutaisha mpaka basi tukiendekeza tamaa.
 
ma shori bana... napita :juggle:
 

hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......

Preta mnayataka wenyewe...............
Mkikutana kwenye vijiwe vyenu hamuishi kuzungumzia ngono,.............. mtaacha kuzodolewa!?
 
He! sasa manii kuwa nyingi tatizo..zikiwa chache tatizo...lipi jema?

Labda wanahitaji wastani yaani unachukua manii nyingi sana unajumlisha na ndogo sana halafu unagawanya kwa mbili kisha unapata kipimo kinachokubalika.
 
Honestly speaking; wewe unaona sex with Condom inaniga? Si vijijini tu, hata wasomi wengi na hata wazungu na wengi wetu humu humu JF hatupendi Condom!!!!! Unafiki hausaidii. Si ajabu huyo jamaa yako hata hao wadada at least mmoja wao ni member humu na naye anajifanya kushangaa!

Na ndio maana tutaisha mpaka basi tukoendeleza tamaa.

Haya mengine nimekuelewa ila hili la wazungu sijaelewa ulikuwa unawalenga watu gani hasa na kwa nini!!
 
Wadada mnatuvua nguo namna hiyo...

Sina uhakika kama katika hili ni wadada ndio waliomvua nguo huyo mwanaume fuska. Kimsingi ni yeye kwa hiyari yake aliamua kuwavulia nguo na kuwaonesha maungo ya ndani. Walichokuwa wanafanya ni ku "compare notes" tu. Kwa akina dada ambao ameshawahudumia huyo jamaa akiingia ofisini hana tofauti na mtu anayetembea uchi .
 
Back
Top Bottom