..Acha kusifia Ujinga Ndugu. Ukishamaliza kijiji kizima halafu, what next. Utakufa Tutakuzika, full stop.
Sihitaji kukua ili nione Wanaume wanaotembea na wanawake kijiji kizima, acha nibaki hapa. Tangulia.
Teamwork ya kushear mwaume mmoja wanawake watano tena mwenye mke.loh kweli hii nizaidi ya team work
Mimini mtu wa watu sana tena sana. lakini kila kitu kina kanuni zake mkuu
Mwenyemaamuzi ya kumegwa ni mimi mkuu . na hilo lisingewezekanika kamwe .llabda ningeishia kukumega wewe
..Keshatembea na wanawake wanne ofisi moja?!!!, Duuuh
Kaofisi kamejaa uzinzi hako sijui kama kazi zinaenda,
sijui hio ofisi yahusika na nini!
mwanaume mtamu ni yule mwenye mmls kiduchu ila zimtokazo kwa taabu
acha kabsa mkuu! kuna kijiji kinaitwa chamwino ikulu kule dodoma, niliwahi kupita kufanya survey moja, nilishangaa kila binti kati ya umri wa 15-19 ameshazaa. Nikamuuliza njemba mmoja kwanini wamewazalisha karibu mabinti wote kijijini akanambia sex kwa kutumia condom hainogi kabisa. Unategemea nini toka kwa mtu wa aina hii? Haka kadunia kanaelekea kuwa ya mimea na wanyamapori pekee!
Kaofisi kamejaa uzinzi hako sijui kama kazi zinaenda,
sijui hio ofisi yahusika na nini!
hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......
Preta mnayataka wenyewe...............
Mkikutana kwenye vijiwe vyenu hamuishi kuzungumzia ngono,.............. mtaacha kuzodolewa!?
He! sasa manii kuwa nyingi tatizo..zikiwa chache tatizo...lipi jema?
Honestly speaking; wewe unaona sex with Condom inaniga? Si vijijini tu, hata wasomi wengi na hata wazungu na wengi wetu humu humu JF hatupendi Condom!!!!! Unafiki hausaidii. Si ajabu huyo jamaa yako hata hao wadada at least mmoja wao ni member humu na naye anajifanya kushangaa!
Na ndio maana tutaisha mpaka basi tukoendeleza tamaa.
mwanaume mtamu ni yule mwenye mmls kiduchu ila zimtokazo kwa taabu
Wadada mnatuvua nguo namna hiyo...