Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!



Sasa mbona unanisema!!!!ndio hivyo hivyo kweli
 
Ofisi yanu inashughulika na nini?
Inaonekana wafanyakazi ni wengi kuliko kazi zilizopo.Mngekuwa na kazi za kutosha muda wa soga za kipuuzi mngeutoa wapi?
I hope siyo ofisi ya serikali.
 
Haya mengine nimekuelewa ila hili la wazungu sijaelewa ulikuwa unawalenga watu gani hasa na kwa nini!!

Nilikuwa naandaika kwenye simu na haraka kidogo; my point is "watu wote hawapendi condom sio wa vijijini tu, hata wasomi, wazungu, waarabu etc; sio kitu asili"

Sasa mtu anapotafuta mtu kama anatafuta ule utamu hasa hasa, kuna uwezekano mkubwa wa kutotumia hiyo mipira. Wengi wanatumia mipira kwa hit n run; lakini wachache kwa wafanyakazi wenzao. Na ndio maana maambukizi haya huwa yanaathiri maofisi na mashirika kwa ajili ya romance ya kazini.
 
Preta mnayataka wenyewe...............
Mkikutana kwenye vijiwe vyenu hamuishi kuzungumzia ngono,.............. mtaacha kuzodolewa!?

Nyie mnaacha? Jukwaa la kikubwa kina nani wanongoza kwa kupost na kuimagine ngono?
 
Very interesting haya maoni ya hapa.
 

we ndyoko na hz story zako,duh,
 
..Acha kusifia Ujinga Ndugu. Ukishamaliza kijiji kizima halafu, what next. Utakufa Tutakuzika, full stop.
Sihitaji kukua ili nione Wanaume wanaotembea na wanawake kijiji kizima, acha nibaki hapa. Tangulia.

kwenye red,...we utaishi milele??..kuna atakaye baki???
 
hao ni wale waliokuwa sehemu moja
ina maana ametembea na ofisi nzima,
watu wengine jamani, na ukifuatilia ana
mke mzuri tu.

..Keshatembea na wanawake wanne ofisi moja?!!!, Duuuh
 
da jamaa kweli anawamaliza....lakini naona kama vile jamaa anapiga kavu hatumii hata kicondom vile...
 
kumbe wakijuana kuwa umeshawavua chupi wanahadithiana! wadada mna mambo asee. ningejaribu hapa kwetu lakini kuna mdada mmoja tu, sijui atamhadithia nani
 
Ukiona wife au gf wako anapenda stori kama hizo ujue na yeye yupo katika foleni ya kupitiwa. Inasemekana wadada wengi wakishapewa stori kama hizi huwa wanapenda kujionea wenyewe. Reseach imeprove hivi above 50%.
 
Ofisi yanu inashughulika na nini?
Inaonekana wafanyakazi ni wengi kuliko kazi zilizopo.Mngekuwa na kazi za kutosha muda wa soga za kipuuzi mngeutoa wapi?
I hope siyo ofisi ya serikali.

Mjinga kweli wewe, sidhani kama umesoma hii thread na kuielewa. Inakuwaje mtu mzima una-generalise hivi, kenge mkubwa weeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…