Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

Huyu madelu kazi yake ni kupandikiza tozo kwenye teknolojia na ubunifu wa watu wengine........wakati anachunga mbuzi kijijini kwao alikuwa anazo hata fikra kwamba unaweza kupata information zozote unazotaka kwa ku type tu maneno mawili kwenye search engine ya google. Wacha ni download vitu vya umuhimu hapa kabla google hawajasitisha huduma yao turudi kwenye zama za mawe.......
 
Not only that, it provides a good source of information and learning
 
Google inafaidika na watumiaji wake lakini sio watanzania ambao wanatumia google kuangalia porno na kuangalia channels za kijinga youtube kwa wachache wanaotumia kufanya mambo ya maana kama kusoma basi wao ndio wanafaidika na uwepo wa google.

Google inapata faida kutoka india, china na asia yote kwa ujumla, europe, australia na americas ila afrika nimeiondoa kabisa sababu kwa asilimia kubwa ndio inafaidika na uwepo wa google kuliko google kufaidika na uwepo wa afrika.

Je wewe ulishawahi kununua bidhaa hata moja iliyowahi kutangazwa na google kwenye simu yako?
 
Mleta mada Jaji Mfawidhi hajui hata KIINGEREZA ona alichoandika eti We,Tanzanian badala ya We Tanzanians

Kachanganya uwingi na umoja !!!! kiingereza sifuri.Angeandika tu kwa kindengereko kilugha chake anachokimudu
content ,nimesoma shule za ccm na ndipo nlipoishia.
 
Kifupi ni kwamba tunahiitaji Google zaidi kuliko Google inavyotuhitaji sisi..
 
Huyu mwigulu hata international policy hazijui.
Hanazani haya mambo ni mepesi kama matamshi yasina reasoning thinking yanatamkwa, tamkwa tuu.
Watu wame -invent Money, Time kufanya mambo makubwa kwa gharama kubwa, wewe hunahamka tuu. Ulipo toka kwamba unataka kuvuna usipopamba
Doesn't make sense kweli.
 
Mwigulu anajaribu kufanya watu wamchukie Rais. Yaani kila kitu utaskia “Rais anataka kujenga vituo vya afya”. “Rais anataka kujenga barabara vijijini” He’s trying to exclude himself from this “tozo” mess.
Huyo Rais mwenyewe kama kweli hajamtuma,ni kwanini yupo kimya tu? na akijitokeza anakuja kumsupport?
Anachokifanya anamtuma Madelu ,halafu anakaa pembeni anasikilizia mayowe,kisha anajifanya kupunguza % ya kile walichokipanga
 
Haya mambo ya ajabu tulifikiri yaliisha baada ya ile maiti ya chattle kuzikwa kumbe ndio kwanza yanaanza
 
Halafu wewe mama D Sikupendi.

Kwani mimi nakupenda???😆😆😆😆😆

Halafu hata sikujui kwa jina wala wasifu, na hii ID yako ndio kwanza naiona sasa👩‍💻

Pole kwa chuki mwayego, pole zaidi kwa kumchukia hata mtu asiyekujua💊💉

Ila jitahidi kulinda moyo wako usije kufa kwa shinikizo la chuki bureeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Je wewe ushawahi kuwalipa google ili utumie huduma zao?

Usiwe unauliza maswali ya kitoto basi😃😃😃
Kwa akili zako Google walikupenda sana wakakuletea hii huduma uitumie bure!!!???
Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue😎😎😎
 

 
Mwigulu sijawahi kumkubali na bado nipo na baadhi ya viongozi muhimu wasitokee mikoa masikini inaleta shida kwenye maendeleo..
 
Yeho kwani umelishwa pilipili?,mbona unatufokea?
 
Halafu utakuta mtu kama wewe hata ukigombea uenyekiti wa serikali ya mtaa,hawakupi.
Wajinga ndio viongozi.
Werevu mmekaa kando.
Mungu akubariki kwa mawazo na ushauri bora ulioandika hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…