Should Kenya and Tanzania merge?


You guyz are just sore-losers. What is that so difficult for you to use 'search' tool? Oh mai mai mai. Iz that so difficult for the people from 'superior' country?

Mnatujazia thread bila mpango ebo!
 
mtindiowaubongo

60% is not bad,nafikiri kwa TZ is more than 60% na hawalipi kodi na wanachukua billions in accounted gold and all major contracts worthy billions za kutengeneza barabara kuanzia KONOIKE,KAJIMA,ITALIANS etc,na hii globalization who cares kama ni native or foreigners anamiliki economy?

Watu wanataka jobs,tax na fair play tuu sio s-tupid politics zako za uzawa,states ni super power lakini FYI treasury iko dominated na Chinese & Japanese debt,hata hiyo wall street,NASDAQ,S&P ambazo ndio economy engine zao foreign investment za waarabu na wachina ni zaidi ya 40%,nothing wrong with foreign investment na hata President Kikwete everyday analia anataka foreign investment,unawatukana wakenya lakini you have no idea kama ni major business partner na TZ.

Nenda BOT uangalie flow of money utajua KCB put more money than Barclays or standard chartered combined...tafadhari kabla ya kuja na politics zako angalia details whata it means to have FED? from business, education, security, democracy etc its not perfect lakini kuna mengi mazuri ya kutupeleka mbele kuliko kurudi nyuma.

Wewe endelea with your fight lakini smart people like kagame wako ahead na hii na wanaruhusu any kenyans,Tanzanians kufanya kazi bila work permit kwao.
 
Last edited by a moderator:
Koba

Usiwe kama mtoto ambaye hajawahi kupanda gari, kila gari unataka kudandia na mbaya zaidi unadandia gari kwa mbele. Halafu kabla ya kupanda gari uliza linakoelekea. Sasa hivi unavyoleta ni vituko.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiria ukiwauliza wakenya, hili jambo watalifurahikia sana maana wataji zatiti kabisa ndani ya BONGOLAND, hayo mashamba na ardhi mulizonazo watazichukua mubaki mukilalalama. Afadhali ibakie hiyo jumuiya ya afrika mashariki na sisi wazanzibari mututambue kama taifa huru. Vinginevo ni kuburuzana tu.
 
While you can select your friends you cannot select your neighbour - so Kenya and Tanzania are in that unenviable position ya kuwa neighbours.

Nyumba ya jirani ikishika moto inabidi uende kusaidia ama sivyo moto utaenea mpaka kwako.

Haya yaliltokea mwaka jana wakati wa machafuko ya kura za huko Kenya.

Waheshimiwa wengi wa Kenya walikimbia Tanzania kujihifadhi kwa usalama wao wenyewe. Pia wakati kulipokuwa na matatizo Pemba baadhi yao walikmbilia Kenya kujihifadhi - ingawaje tukubali kuwa matatizo ya Pemba yalikuwa madogo sana ukilinganisha na ya kenya.
 
Mtindio,
Sijasema kuwa Kenya itakuwa mkombozi wetu kiuchumi. That is our duty and destiny.
Ninachosema ni kwamba Kenya and Tanzania cannot do without each other. Sasa hivi Wakenya wenye uwezo wameanza kuwekeza Tanzania, na afadhali wao mara kumi kuliko kusubiri Mwingereza na Mjapani awekeze nchini.
 

Mzee upo sahihi.

Umesema heri wawekeze wakenya mara 10 kuliko waingereza au wajapani, mimi nasema ni heri mara 1000 tuwekeze sisi wenyewe kuliko kumsubiri mgeni, awe wa mbali au wa karibu. Ktk uchumi wa nchi kutegemea uchumi wa kibepari (wa nguvu za soko), ni jambo la hatari sana kwa nchi kusubiria wageni washike uchumi. Na ndio maana uliona wakina mzee Idd Simba wakionesha njia kupitia kampuni ya kizalendo - NICO.

Haya ni maarifa magumu sana kwa watu wenye upeo finyu wa kupokea maarifat kama akina Koba et al.
 
mtindiowaubongo

Mkuu Mtindio Wa Ubrain, ulilo sema lina mantiki zote katika falsafa za kiuchumi.

Watanzania lazima tuamke kuanzisha makampuni yetu wenyewe, tena makubwa ili kufanya biashara.

Hili linawezekana kabla wageni hawajaingia na kukamata mianya ya bishara zote.

Kuna miji ukienda hapa Tanzania biashara zote zimeshikwa na wanachi hata wale wenzetu wa kiasia wamepungua sana baada ya wazalendo kufuata mali huko huko nje ya nchi.

We must be risk takers na ndio siri ya mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
mtindiowaubongo

Mtindi, I know you have the best of intentions for your country, but le me school you on some things.. For substantial economic development to take place, foreign investment is inevitably a factor, its usually at the top of the list with security, infrastructure etc.

for our third world economies, we need to combine local and foreign investments so as to progress.. (why do you think Governments give incentives for foreign investors?)

Foreign investment is good as long as it doesn't kill the local industries, or flood the markets with substandard goods.. Kama wa Bongo wanaeza inua economy yao wenyewe, it will be great, and I know Kenyans will learn alot from you guys. Lakini as history has shown it is unatainable without indirect or direct investments from foreigners.

Quit your socialistic thinking in a capitalist world, mta baki nyuma msipo ji unchain from selfish development. I know we need each others as neighbours, you just have to open your eyes and ears.
 
Last edited by a moderator:
Smatta

Ndugu why all this?

Karibu Tanzania bwana tupate Tusker baridi wote..au nije nairobi unipe offer ya tusker?

Tu watu wamoja rafiki.
 
Last edited by a moderator:
Smatta

Now Smatta, that's nonsensical and you know it!Take time to ponder the whole issue before putting your fingers to the tabs.
 
Last edited by a moderator:
Wakenya wengi ni watu wazuri tu..zamani nishakua na demu wa Kiluo alikuwa moto sana.

Ndo maana naona hii debate hii ya chuki kuwa haina maana.

Tupendane wandugu.

Watz waoane na Wakenya ,Wakenya waoane na Watz na Waganda n.k

Hii ndo EA co-operation.

Tuacheni hate tuu ndugu wamoja.
 
Pole ndugu zangu, I am just reacting on some of the posts that have been written before.. we all have to admit that we have to live as brothers.. unproductive arguments will not help us solve our economic woes, am apologetic to anyone I have offended by my posts. But dont expect smatta to be soft when you are dissing his mother land..
 
Tusitukanane. Tumwage tu points tuelimishane.

Sawa mzee.

Atakayekuja na lugha ya kubadilishana mawazo hapa ni nyumbani kwake, pia inaangalizwa kuwa atakayekuja na lugha ya kejeli na matusi, atalipwa A HUNDRED-FOLD.
 
Smatta

I don't think you are speaking for a majority of Kenyans so to speak.
 
Last edited by a moderator:
Mi sioni sababu ya kuogopa kuungana na kenya, kinachotakiwa kufanywa na watanzania ili tuweze kufaidika na muungano huo ni kuhakikisha kuwa tunafanya mageuzi ya kweli katika uongozi wa nchi. Ukweli ni kwamba tungekuwa na viongozi wenye upeo mkubwa ambao wangeweza kusimamia rasilimali za tanzania kwa uzuri hakuna nchi ktika east africa ingetufikia,tungekuwa mbali mno. Nilkuwa nalinganisha thamani ya uwanja wa taifa mpya kuwa ulitengenezwa kwa 55billion, nikiangalia feza ambazo zinatajwa kwenye ufisadi inatisha,karibu mikoa (cities) zetu zote zingekuwa na uwanja wa namna hii.
1. ufisadi wa EPA 133billion
2. Majengio pacha BOT 220 billion
3. Richmond 77billion
4. IPTL Contract 3billion each month
5. Kiwira

Na nyingine nyingi.
 
ibrasule

Mkuu.

Labda nikuulize, unadhani nini kianze, kujiunga na Fed au mageuzi ya uongozi? Maana sijaipata methodology yako.
 
Last edited by a moderator:
Shy

This can all be accomplished via an economic union like East Afrikan Community used to be... we used same currency, had huge modern airline flying around the world, had fleet of ships dominating African maritime commerce and didn't need visas - if I was educated correctly, this all was accomplished while the 3 countries maintained sovereignty.
 
Last edited by a moderator:
Was jus goin thru this debate of Kenyans merging with Tz.I would like to remind fellow bloggers to go and do and redo their research work inorder to comment on the real facts.

Kenyans are more educated..No doubt,Kenya is more advanced..And trying to push it to the corner kisa vurugu zilotokea wakati wa uchaguzi.I think this isnt fair.Look at our democracy!!then compare it with any other country in eastern Africa.

In the last Tz Election Hon Kikwete won by close to 80% of the total votes...How many demonstrations were blocked and wananchi were despersed by teargas in dar- A few mayb none.

For a president to win with 80%...He must be an Angel..Or lack of democracy..Or illeteracy playing a major role,Watu wanapiga kura kwa pesa.

So guys when we address issues concerning these 2 countries we should put the good facts in mind and not blaiming Kenya's post election crimes.

After all amani haiji ila kwa nchi ya upanga!!If people are Educated n know their rights,they will fight for them.This has happened in all the so called advanced democracies of the world.

I think Tz merging with Kenya,it will be more beneficial to Tz..coz Kenya will have to drag Tz n pull it to synch with our MAENDELEO KWA WOTE PROGRAMME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…