mtindiowaubongo
60% is not bad,nafikiri kwa TZ is more than 60% na hawalipi kodi na wanachukua billions in accounted gold and all major contracts worthy billions za kutengeneza barabara kuanzia KONOIKE,KAJIMA,ITALIANS etc,na hii globalization who cares kama ni native or foreigners anamiliki economy?
Watu wanataka jobs,tax na fair play tuu sio s-tupid politics zako za uzawa,states ni super power lakini FYI treasury iko dominated na Chinese & Japanese debt,hata hiyo wall street,NASDAQ,S&P ambazo ndio economy engine zao foreign investment za waarabu na wachina ni zaidi ya 40%,nothing wrong with foreign investment na hata President Kikwete everyday analia anataka foreign investment,unawatukana wakenya lakini you have no idea kama ni major business partner na TZ.
Nenda BOT uangalie flow of money utajua KCB put more money than Barclays or standard chartered combined...tafadhari kabla ya kuja na politics zako angalia details whata it means to have FED? from business, education, security, democracy etc its not perfect lakini kuna mengi mazuri ya kutupeleka mbele kuliko kurudi nyuma.
Wewe endelea with your fight lakini smart people like kagame wako ahead na hii na wanaruhusu any kenyans,Tanzanians kufanya kazi bila work permit kwao.