directa
Senior Member
- Jan 27, 2017
- 102
- 150
wataalamu wa mambo habarini.
mimi binafsi nadhani ukimwa hau ogopeki sana siku hizi. sijui kwanini hauogopeki kama miaka ya zamani kidogo? ......... watu wanauchukulia poa. au kwasababu ya haya madawa yakuongeza maisha?............ jeh hizi dawa ni zakuzitegemea sana?
na kitu gani kingine kinaweza kututisha kuhusu gonjwa hili?.........................
napenda kujua pia mtumiaji wa hizi dawa, anaweza kuishi miaka mingapi?........ na je kifo kwake ni lazima kwa ugonjwa huo, yaani hata atumie dawa vipi lazima afe.?.........
njia zingine amabazo mtu mwenye discipline ya uwoga wa kuupata huu ugonjwa anaweza kupata ukimwi bila kujitakia lakini?
kweli najua vifo vimepungua vya watu wanye uathirika. (kama nakosea nikosoe) ni kwa asilimia ngapi au idadi ya makadirio ya sasa na miaka iliyopita?......
SHOULD PEOPLE STILL FEAR HIV/AIDS? HO DO WE MAKE PEOPLE FEAR THE DISEASE?