Should people still fear hiv/aids? ho do we make people fear the disease?

Should people still fear hiv/aids? ho do we make people fear the disease?

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
102
Reaction score
150
wataalamu wa mambo habarini.

mimi binafsi nadhani ukimwa hau ogopeki sana siku hizi. sijui kwanini hauogopeki kama miaka ya zamani kidogo? ......... watu wanauchukulia poa. au kwasababu ya haya madawa yakuongeza maisha?............ jeh hizi dawa ni zakuzitegemea sana?

na kitu gani kingine kinaweza kututisha kuhusu gonjwa hili?.........................

napenda kujua pia mtumiaji wa hizi dawa, anaweza kuishi miaka mingapi?........ na je kifo kwake ni lazima kwa ugonjwa huo, yaani hata atumie dawa vipi lazima afe.?.........

njia zingine amabazo mtu mwenye discipline ya uwoga wa kuupata huu ugonjwa anaweza kupata ukimwi bila kujitakia lakini?

kweli najua vifo vimepungua vya watu wanye uathirika. (kama nakosea nikosoe) ni kwa asilimia ngapi au idadi ya makadirio ya sasa na miaka iliyopita?......

SHOULD PEOPLE STILL FEAR HIV/AIDS? HO DO WE MAKE PEOPLE FEAR THE DISEASE?
 
Zamani ukimwi ulikuwa unaogopeka kwasababu kukonda na kila mtu anajua huyu ana ukimwi ila kwasababu ya Arv watu awaogopi kitu tena nadhani pamoja na ayo mambukizi yamepungua sana sijui na uelewa wa kutumia kondom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njia zipi mtu unaweza pata ukimwi bila kujitakia.
acha na kubakwa.
 
Siku hizi watu hawaogopi kwa sababu siku hizi kumtambua mtu mwenye virusi ilikuwa kazi na ilikuwa inaua vibaya kutokana na kukosekana na haya madawa
 
Hili jambo lisikie tu Kwa mwenzako, lakini usiombe likupate.

Nikikumbuka yaliyonikutaga miaka michache iliyopita sina hamu

invest what you are willing to lose
 
Kuna mama moja anasema yeye aligundulika kuwa na ukimwi mwaka 1995, na alikuwa anahisi aliupata mwaka uliopita 1994 kwa jamaake moja... Huyo mama aliishi nao hadi mwaka huu mwanzoni ndo alifariki. Ukiangalia kuna baadhi ya watu huishi nao kwa miaka 30 na wengine hufa kwa miaka 25. Ila ukiwa mzembe ukimwi unakuua chini ya miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma uisikie tu maredion na Kwa mwenzako ,, usione mtu anangoma lkn anaishi ,,hujiulizi nikwann huwa hawajitangazi naukijichanganya kweli anakuunguza ??? .

Mie numtaalam wa afya .nasema ivi UKIMWI NI HATARI NA UNAUA .
 
njia zipi mtu unaweza pata ukimwi bila kujitakia.
acha na kubakwa.
1. Kufanya ngono zembe bila kinga na mtu aliyeathirika au mapenzi ya jinsia moja(Gay or Lesbians)

2. Maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa ujauzito, wakt wa kujifungua au kunyonyesha

2. Kutumia kifaa cha ncha Kali kilichotumika na mtu aliyeathirika

3. Kupokea damu ya mtu aloathirika na virusi
nk
 
Kuna mama moja anasema yeye aligundulika kuwa na ukimwi mwaka 1995, na alikuwa anahisi aliupata mwaka uliopita 1994 kwa jamaake moja... Huyo mama aliishi nao hadi mwaka huu mwanzoni ndo alifariki. Ukiangalia kuna baadhi ya watu huishi nao kwa miaka 30 na wengine hufa kwa miaka 25. Ila ukiwa mzembe ukimwi unakuua chini ya miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana gani unaposema ukiwa mzembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuhizi mzee imekuwa kinyume chake. mwanamke bonge ndiyo anatiliwa shaka huenda anatumia dawa za kurefusha maisha.maana inasemekana zinasababisha unene. mademu wenye minyama uzembe soko lao litaanza kuporomoka kwa kasi.watabaki vimodo

Sijui fikra hizi zinatoka wapi
 
1. Kufanya ngono zembe bila kinga na mtu aliyeathirika au mapenzi ya jinsia moja(Gay or Lesbians)
hio mtu anakuwa kajitakia. niliuliza njia ambazo unaweza pata ugonjwa bila kujitakia, au bila kujua.
 
Kuna mama moja anasema yeye aligundulika kuwa na ukimwi mwaka 1995, na alikuwa anahisi aliupata mwaka uliopita 1994 kwa jamaake moja... Huyo mama aliishi nao hadi mwaka huu mwanzoni ndo alifariki. Ukiangalia kuna baadhi ya watu huishi nao kwa miaka 30 na wengine hufa kwa miaka 25. Ila ukiwa mzembe ukimwi unakuua chini ya miaka 5

Sent using Jamii Forums mobile app
this was helpfull...
 
Ngoma uisikie tu maredion na Kwa mwenzako ,, usione mtu anangoma lkn anaishi ,,hujiulizi nikwann huwa hawajitangazi naukijichanganya kweli anakuunguza ??? .

Mie numtaalam wa afya .nasema ivi UKIMWI NI HATARI NA UNAUA .
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom