SaidAlly lazima achunguzwe kama analipa kodi kwani biashara yake ni kubwa[emoji23]Mchokozi wewe!
umepata kibali chiefHahahahah....nihurumie bure tu.
Mauzo yenyewe hata gharama ya pembejeo haifidiwi.
Nimetuma vijana na gari za nchi wanakuja kununua koroshoNatumia utaratibu wa stakabadhi gharani.