Should poop sink or float?

Should poop sink or float?

mkuu huwezi kuua uzi[emoji23] naona umeufuta
 
SaidAlly lazima achunguzwe kama analipa kodi kwani biashara yake ni kubwa[emoji23]
Hahahahah....nihurumie bure tu.

Mauzo yenyewe hata gharama ya pembejeo haifidiwi.
 
inategemea na chakula ulichokula ndugu, ukila fats sana ni lazima mzigo uelee lkn carbohydrate mara nyingi ni lazima kitu izame, hata mm niliwahi jiuliza hilo swali
 
Back
Top Bottom