Huwezi kumuondoa mbunge kwasababu amepigiwa kura na wananchi. Siku zote nafasi ya kuteuliwa hutegemea sana kazi inayofanywa na aliyeteuliwa. Waziri anaweza kubadilishwa siku yoyote ileCheo Cha kupewa hakina guarantee muda wote aliye kupa anakichukua hii Tanzania
Ni hilo wazo ni kwa bunge hili hili na kwa sheria hizi hizi au miaka miatano ijayo au unaota ndoto za miaka miaka ijayo Afrika zaidi Tanzania itakavyo kubwa?Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.
Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,
Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu oia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.
Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda
Paskali
- Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
- Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
- Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
10 Wengi sn hata 3 hawafikiMawaziri wasitokane na wabunge
Kwa mfano bunge la sasa watu wenye sifa za kuwa Waziri hawazidi 10
Nasikitika kusema Mamlaka alopewa kiongozi wetu kikatiba yanamuelemea.Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.
Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,
Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.
Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda
Paskali
- Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
- Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
- Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Tangu nianze kukusoma pascal Leo ndo umeandika mada ya muhimu zaidi kuliko mada zone ulizowai toa humuWanabodi,

KATIBA KATIBA KATIBA.Wanabodi,

Katika hili nakuunga mkono na mguuWanabodi,

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ambao hatuna connection na watu wazito tukutane ajira portal
Mkuu Lord denning, kwanza asante for appreciation, pili umuhimu ni relative, unafuata príncipes za relativity, kitu muhimu kwako si lazima kiwe muhimu kwa mwenzako kama ilivyo the beauty is in the eyes of the beholder!, au kama ili nyama kwa wale wapenda kutafuna, kwanini wanazunguka na kumaliza mabucha wakati nyama ni ile ile, sababu ni moja, zina taste tofauti tofauti wakati nyama fulani kwako ni tamu lakini kwa mwingine ni sumu!, one man meat, is another mens poison, nimepandisha mada kibao muhimu humu!.Tangu nianze kukusoma pascal Leo ndo umeandika mada ya muhimu zaidi kuliko mada zone ulizowai toa humu
1. Suala la jana majibu yapo kwenye kauli ya mteuaji. “ Nchi hii ni muungano wa serikali mbili zinazingana”. Pia kitu kimejadiliwa kwenye baraza la mapinduzi.Wanabodi,