Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri Wasiwe Wabunge ili Wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu oia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
Ni hilo wazo ni kwa bunge hili hili na kwa sheria hizi hizi au miaka miatano ijayo au unaota ndoto za miaka miaka ijayo Afrika zaidi Tanzania itakavyo kubwa?
 
Mada nzuri welldone Mr.Mayala, Tiba ya yote haya ni KATIBA MPYA, ndani ya katiba mpya no.1 atakua na uwezo to hire &fire cabinet yake tu, CEOs wengine wote yaani kuanzia igp, cdf, dpp etc etc ni lazima teuzi zao zisimamiwe na Bunge na uwajibikaji wake ni kwa Bunge sio President, Judiciary nao watajitegemea kwa kila kitu including uteuzi wao, nafasi zinapotokea ni lazima waombe na wafanyiwe usaili na kamati ndogo ya Bunge, Rais atapelekewa majina na yeye atakua na uwezo wa kuteua kutoka kwenye hiyo list, na hatakua na UWEZO wa kuwafukuza,wajibu huu utakua ni wa Bunge, na sielewi why tunapiga kelele nyingi kuhusu minister's wakati hawa ni just political heads wa wizara hawahusiki na day to day activities za wizara husika,ila mabadiliko haya yataletwa siku working class watakaporudi kutoka kwenye ivory towels zao na Kuja to smells ☕ on the ground.
 
Naona utenguzi wa Mulamula umeacha maswali mengi.

Infact, hiki unachozungumzia hapa kimeshapigiwa kelele muda mrefu sana, na hili lililomtokea Mulamula ndio limetuamsha tena.

Chanzo cha yote haya ni ubovu wa Katiba iliyopo, imempa uhuru Rais kama malkia kujiamulia chochote atakacho, na bahati mbaya sasa tunaona kumbe Rais anaweza kumuondoa Waziri kwa sababu nyepesi sana, za kimazoea.
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
Nasikitika kusema Mamlaka alopewa kiongozi wetu kikatiba yanamuelemea.

Tupambanie KATIBA mpya Ili tumpumzishe. Ufanisi uongezeke.

Ameeen.
 
Tangu nianze kukusoma pascal Leo ndo umeandika mada ya muhimu zaidi kuliko mada zone ulizowai toa humu
 
Mkuu Pascal Mayalla ni muhimu Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike na 'vetting' authority' liwe Bunge ijapokuwa Rais atabaki na 'veto power'..
Kwa wakati huu inaonyesha kuwa SSH amezungukwa na Jopo la Washauri ambao wanamfanya kurekebisha Baraza kila mara. Hii siyo haiba ambayo tunaitegemea au tunaitaka kwa Rais ambaye tunatarajia azungukwe au anaweza kupata 'Top Brains' za nchi akitaka.
Hata namna 'scouting' inavyofanywa kwa Mawaziri na Viongozi wa Taasisi mbalimbali nayo inatia shaka..
 
Pole Sana

Naona utenguzi wa Mula Mula umekugusa Sana, Hadi unatamani NAFASI yake ingelindwa na Bunge au taasisi za USALAMA SIO!!?

Usijali Warioba amesikia ATAFANYA kweli akijumuishwa kwenye kikosi kazi cha Mkandala!!
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
KATIBA KATIBA KATIBA.
 
Katika hili nakuunga mkono na mguu

Huwa natamani sana tuwe na mfumo huu wa uwajibikaji.
 
Kaka Pascal mawazo yako ni mazuri sana lakini shida ni hao wahafidhina waliojaa huko CCM,watu hawataki ata kuona Mtanzania anakuwa na haki ya kuwa mgombea binafsi,wanalazimisha lazima apitie kwenye chama!!
Watakubali kweli Mawaziri wasiwe wabunge maana Hawa CCM wamegeuza siasa kuwa ajira na siyo utumishi!
 
Tangu nianze kukusoma pascal Leo ndo umeandika mada ya muhimu zaidi kuliko mada zone ulizowai toa humu
Mkuu Lord denning, kwanza asante for appreciation, pili umuhimu ni relative, unafuata príncipes za relativity, kitu muhimu kwako si lazima kiwe muhimu kwa mwenzako kama ilivyo the beauty is in the eyes of the beholder!, au kama ili nyama kwa wale wapenda kutafuna, kwanini wanazunguka na kumaliza mabucha wakati nyama ni ile ile, sababu ni moja, zina taste tofauti tofauti wakati nyama fulani kwako ni tamu lakini kwa mwingine ni sumu!, one man meat, is another mens poison, nimepandisha mada kibao muhimu humu!.
P
 
Mzee WARIOBA ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha Mkandala mchakato wa katiba Mpya ukamilike kwa wakati!
 
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.

Tangu kutumbuliwa kwa Top Diplomat No. 1 kwa Tanzania, Waziri wa Nje, Balozi Liberata Mulamula, bila kutolewa sababu zozote, huku kwenye mitandao ya kijamii kumelipuka kila mtu akisema lake na watu kuzua sababu mara ni Mama kupandishwa "School Bus London", mara "She is American Subject", mara "ni wivu wa kike kwani Balozi apige picha na naniliu, alipaswa pale awe mama, hivyo mama amemind", mara... mara, mara alumuradi kila mtu anasema lwakwe!,

Tanzani tumepata uhuru toka kwa Waingereza, hivyo tukaiga mfumo wa serikali wa Uingereza ambapo mawaziri ni wabunge. Katiba yetu pia ikampa rais mamlaka ya kuteua wasaidizi wake atakavyo bila kutoa sababu na huwatumbua atakavyo bila kuwajibika kutoa sababu, yaani hiring and firing as she pleases kwasababu the appointment imefanywa with the president's pleasure hivyo kutumbua as she pleases na hatuna haki kuuliza sababu!, huku ni kumuingilia rais!. Hakuna rais aliyeteua na kutumbua kama JPM, na sikumbuki kuona watu wakidemand kuambiwa sababu kama sasa.

Kwenye uteuzi na utumbuzi wa majipu, enzi za JPM, mimi nilipandisha hoja hoja zaidi ya 100!, nakuwekea baadhi kwa wenye muda

  1. Jee sasa should we demand more right to Information kwenye teuzi za key posts?. Sasa hivi tunaishi kwenye the world of information power, jee sasa tuhitaji rais akiteua, atoe za kumteua fulani kwenye key posts, na siku akimtumbua, pia atoe sababu?, au tuendelee na utaratibu wetu, wa rais kujiteulia yoyote bila kutoa sababu kwa yeyote na siku akitumbua, ni kujitumbulia tuu bila kutoa sababu yoyote hata kama mtumbuliwa hana kosa lolote?. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!, hivyo hata huu utumbuaji tusihoji?.
  2. Jee teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Kama posts za majaji, Gavana wa BOT, GAG, zina kipengele cha a security of tenure, rais anaweza kuwateua tuu lakini hawezi kutengua, ili wafanye kazi kwa mujibu wa kuwajibika na sio kuteuliwa kwa hisani, hivyo kuwajibika kwa hisani ya kutegemea huruma ya mteuzi hivyo kufanya kazi kwa nidhamu ya woga ?
  3. Should we adopt the American System of Government Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Watanzania wenye sifa waombe, wachujwe, wateuliwe, waidhinishwe na Bunge na kutimiza majukumu yao bila kutegemea hisani ya mtu yoyote?.
Paskali
1. Suala la jana majibu yapo kwenye kauli ya mteuaji. “ Nchi hii ni muungano wa serikali mbili zinazingana”. Pia kitu kimejadiliwa kwenye baraza la mapinduzi.
A) Wizara ya muungano haihusiani na baraza la mapinduzi. Hakuna waziri wa Muungano anayeingia kwenye hilo baraza zaidi ya Rais wa Zanzibar. Je, walitaka nini kikaonekana sio kwa masilahi ya Zanzibar?
2. Kwenye nani awe waziri ni kweli ikiwa watateuluwa wasio wabunge itakua vizuri maana tutapata watu weledi. Pia ikiwa vetting itafanyika kuwachunguza na kupitishwa na bunge turakua na watu wawajibikaji wanaojua kuna jicho zaidi ya aliyeniteua.
3. Ili huo mfumo ufanikiwe ni lazima tuwe na mfumo wa chama usio miliki wanachama. Kwa sasa hakuna mbunge huru. Kila mbunge ameshikiliwa na mwenyekiti wa chama. Ukifutwa uanachama basi na nafasi zako zote zinapotea. Kwa wenzetu wananchi ndio wanaokuchagua. Unaweza kuamua kuhama nafasi na chama kisikufanye chochote.
Tukiweza kufanya hayo mabadiliko tutakua tumepiga hatua kubwa mno. Tumpe raisi nafasi ya kuteua anaowataka lakini tubaki na turufu ya kuamua tumkatae yupi na tumkubali yupi. Hii italeta discipline kwenye kazi.
Mwisho kiti ni zito kwa upande mmoja. Tuondoe alama za mimi ni au mimi ni tubaki na Sisi ni Watanzania.
 
Back
Top Bottom