Should we not to...?


Dear broda hakuna cha internet cafeee wala nini sasa hv wababa wanakimbia majukumu yao dats why mungu mwenyewe alisema baba atatafuta kwa jasho na mama atazaa kwa uchungu sasa mama akijiangalia kila kitu anaachiwa yeye kuzaa yeye kutafuta pesa yeye anajionea tabu ya nini bora nikae tu mwenyewe. Lakini ndoa za wale wababa wanaowajibika kiukweli hata mwanamama anakuogopa na heshima juu
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa we baba acha ubaguzi wakati unamchagua mama yangu mwenye sura mbaya ulitegemea nini mtoto kazaliwa wajifanya kushangaa

Mbona mama ako mzuri namna hii? Itabidi nkufanyie DNA test lol
 
Haya mambo ya ndoa ukifikiri sana yanachanganya, muhimu pata mtu mliopendana na kufanana kitabia kazi kwishaa.


Huyo mtu mnayependana na kufanana kitabia ni rahis kupatikana??
ndio maana siku hizi watu wanaoana majumbani ndoa hazieleweki.
wengine utasikia oooh tutajifunza kupendana tukiwa ndani ya ndoa.................
Mie Binafsi yule niliyedhani tunapendana na tunafana kitabia leo sio mwenza wangu ,wangu ni mwingine kabisaaaa :smile::smile:
 

hii nayo kali....hizi ndoa za cku hizi jamani majaribio matupu.
 
Hizi zama za usawa ndugu yangu, hakuna cha kusema ati mama wa nyumbani sijiu anachunga watoto. Wote watafuta
na kama wewe unakula na secretary na yeye ala na bosi, ngoma draw. Wewe stats za DNA hapo bongo hujazisikia?
hakuna cha kusema ni akina baba tu na hao akina mama kulikoni!
 
Hii ndo ilikuwa ya convenience? au walilazimishwa, mambo ya long distance haya!
 

i beg to differ....cku hizi wake/waume wote tunachangia kuvunjika kwa ndoa!....kwasasa Maty ni ngumu mwanamke kuvumilia hayo, maradhi haya hakuna atakaekubali mambo yawe mseto hivyo, halafu kila kitu kina wakati wake, enzi za kina mama zetu wao walikuwa tegemezi tu wa ndani, kuzaaa kila kukicha, cku hizi mwanamke kajikomboa na yeye anaweza kuleta makande ndani, bac mwanamke huyo hawezi kukubali kufanyiwa mambo yacyo sahihi kwa mfano ulioutoa....lakini ukweli unabakia kuwa wanandoa tunakosa "uvumilivu" kwa kiac kikubwa na ndio inatu cost sana.
 

Ni kweli kabisa nyamayao mama wa sasa ni ngumu kuvumilia yale waliokuwa wanafanyiwa mam zetu na babu zetu hasa akijiona na yeye anaweza kujitafutia so mtu anaona ya nini anaepusha msongamano hasa ukiangalia baba hata hawajibiki katika majukumu yake.
 

Wewe kama mwanaume hutakiwi kusema kuna usawa ukishikilia hilo unajikana labda kama wewe ni she. Usawa hakuna baba mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke jamani haya mambo ya usawa ni mazungumzo tu baada ya habari. Mimi nitaona kweli kuna usawa iwapo wanaume wataanza kubeba mimba na sio kwa kwenda kufanyiwa maoparesheni hivyo hivyo walivyo wabebe mimba na kuzaa hapo ndio nitakubali kuna usawa. Na hilo swala la kuleta wote kipato sio tija mbona hata zamani wakinamama ingawa walikua hawafanyi kazi lakini walikua wanalima na hivyo kuchangia katika nyumba zao
 
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.

Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi

😱

Mi bila kuiweka kwenye Magazijuto sielewi kabisa: so this can be presented as follows

If A = mwanamke mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.

and
B = Mwanaume mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi

Therefore

Ndoa is equal to D?
Please note that D = Darfur

Au sijaelewa?
 

Umesomeka kama unavyosomeka hapa:

unatoa lami unaweka lami, unatoa vumbi unaweka vumbi!


Na hii nimekuzawadia hii:

The Following User Says Thank You to generation-Y For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
nidai soda...umeongea ya sikukuuu!!!!
 
ni kweli Maty huu usawa tunaousema lazima tuangalie ni kwenye nyanja zipi sio kusema tu sio kila jambo linahitaji usawa kuna ambayo hayatakaa yaezekane tukirudi kwa MJI mi nafikiri uzuri au kujulikana na tabia ni vitu viwili tofauti ndoa ni zaidi ya maonyesho ya nje kama nia ni kuonekan una mume handsome papa la mjini basi tegemea matatizo tu same applies kwa wanaume kama unataka mwanamke wa show room jiandae kwa varangati mi nasema tumekimbia wajibu wetu hatujui maana ya ndoa tena tupo kama vile tumetafuta vibanda vya kujiegesha siku ziende ukirudi ukute umepikiwa ,kufuliwa nk.hakuna baba aliyetekeleza wajibu wake mia kwa mia mke akaacha kunyenyekea na kuheshimu au mwanamke akaheshimu na kunyenyekea mume akawa kituko ukiona haya yanafanyika na vurugu zipo kuna walakini kwenye sababu zilizopelekea kuwepo kwa hiyo ndoa



 

C umeiacha wapi au C ni kubwa kuliko
 
Kwahiyo unataka kutuambia kuwa Bigirita = RoyaRoy?
mmh mmh apana
roya roy=rose
bigirita=mama bg
finest=kayatima kamapenz
generation y=magazijuto
kaizer=zilipendwa
asprin=wa wajukuu
kimey=wa kusutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…