Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
My poor lady MJ1, jibu la ndoa sio kama hisabu ati, kwamba ukijumlisha moja na moja jibu lake mbili!
hata zamanai kulikuwa na mambo mengi tu sema no one took an effort to expose them. Starehe
zimeongezeka pia. Ukiingina internet cafe siku hizi ukaona wototo wa darasa sijui la nne wanachoangalia
humo, u will never go there again. Mimi nadahani we are getting westernized na inakuja with everything!
You just need to look at the divorce rates in say US to believe ..........
Dear broda hakuna cha internet cafeee wala nini sasa hv wababa wanakimbia majukumu yao dats why mungu mwenyewe alisema baba atatafuta kwa jasho na mama atazaa kwa uchungu sasa mama akijiangalia kila kitu anaachiwa yeye kuzaa yeye kutafuta pesa yeye anajionea tabu ya nini bora nikae tu mwenyewe. Lakini ndoa za wale wababa wanaowajibika kiukweli hata mwanamama anakuogopa na heshima juu