Should you go for a DNA test?

Sioni kwanini iwe taabu kwenda kufanya DNA test, ni sehemu tu ya kuhakikisha na ikibidi kuwekana sawa. Mbona wanaume wanahisiwa au kushukiwa vibaya na wanaulizwa? Si ili kuwe na uhakikisho kwamba lisemwalo halipo na kama lipo ieleweke kuwa halipendezi na liachwe. Ni kwa mtaji huo huo na DNA test ifanyike. Ili kujenga uhusiano imara inabidi kuweka misingi imara pia, hata kama baadhi haitupendezi. DNA hiyo ni sawa na warning kama unafanya kinyume, caution kwamba si vizuri kuja kufanya vinginevyo.
Baada ya DNA mtakaa mjadiliane ni nini kilichopelekea hilo na kwa waliokomaa naamini watapata the way forward.
 
kama mwanaume hujafanya makosa kuondoa dukuduku zako na kama mwanamke utafurahi kumdhihurishia mpenzi wako ulivyokuwa mwaminifu kwake, na hii tabia ya kupina DNA mi naona ni jambo zuri sana linasaidia hata pale watoto wanapochanganywa na maness kuondoa utata tuwe na utaratibu wa kupima DNA kwa watoto wetu hata wale wanawake masaliti hapa tutawakamata ingawa wengi wataponda na kukataa.
 
zamani wadada mlikuwa mnatuonea sana kutulitea watoto mara anafanana na bubu yake, mara mjomba wake, sijui nani! sasa hivi ni mtindo wa DNA kwenda mbele

madhara ya DNA yanasababisha wanawake wengi kutoa mimba kwa kuhofia hii mimba ni ya njemba mwingine== huko mnakutana na dhambi ya kuua kiumbe kisicho na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…