Sioni kwanini iwe taabu kwenda kufanya DNA test, ni sehemu tu ya kuhakikisha na ikibidi kuwekana sawa. Mbona wanaume wanahisiwa au kushukiwa vibaya na wanaulizwa? Si ili kuwe na uhakikisho kwamba lisemwalo halipo na kama lipo ieleweke kuwa halipendezi na liachwe. Ni kwa mtaji huo huo na DNA test ifanyike. Ili kujenga uhusiano imara inabidi kuweka misingi imara pia, hata kama baadhi haitupendezi. DNA hiyo ni sawa na warning kama unafanya kinyume, caution kwamba si vizuri kuja kufanya vinginevyo.
Baada ya DNA mtakaa mjadiliane ni nini kilichopelekea hilo na kwa waliokomaa naamini watapata the way forward.
Baada ya DNA mtakaa mjadiliane ni nini kilichopelekea hilo na kwa waliokomaa naamini watapata the way forward.