Shout-out

Ngoja niangalie sorority ipi inakufaa kati ya AKA, Sigma Gamma Rho, Delta Sigma Theta na Zeta Phi Beta[emoji3] .

Unapendelea rangi gani wewe?

Kale kabinti kako nadhani AKA inakafaa zaidi [emoji6]
Naona ndo umeamua kunipoteza kabisa sasa
 
Reactions: kui
Lakini atoto , naona humu ume batiza kabisa hii kuwa kisukuma, sikuwezi mbona! [emoji2]

Haya bhana, by the way shout out to you and your girl Heaven Sent
Na bila kumsahau wifi langu la nguvu Valentina [emoji8]
Umeanza vizuriii, ila hapo mwisho ndio umeharibu, hiyo 'out' ndio nimekupata, ndio kusema unatufukuza mimi, Hs na valey?
 
Umeanza vizuriii, ila hapo mwisho ndio umeharibu, hiyo 'out' ndio nimekupata, ndio kusema unatufukuza mimi, Hs na valey?


Hahaha!, atoto bwana am so done with you it's not even funny [emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I knew you were into this.

Kuna mmoja huyo alikuwa Spelman basi haishi habari zao hizi.


Hahaha mliponifurahisha ni mliposahau kuendelea kutoa shout outs mkabaki mnawadiskas the sororirty sistaz.

Have to say though, they took me back to the fraternity days..mine was pi lambda phi...in the east coast!!! Good old days... [HASHTAG]#brothers4ever[/HASHTAG]


Oh oh and shout out to all ladies who still kept their character despite being in sororities!!!! I know how that can change people to the negativ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…