Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizumbi nkoiVETA ile ya pale Buhangija? Au ile ya Kizumbi?
Mama nimevumilia nimeshindwa.... Ukute wanapanga mpango mbaya hawa. Hebu kui na Honey Faith waje harakaWakati nami nilitaka nikuite uje unitafsirie hiki kisukuma kinachoendela humu, au ngoja nimtafute kui.
Naona ndo umeamua kunipoteza kabisa sasaNgoja niangalie sorority ipi inakufaa kati ya AKA, Sigma Gamma Rho, Delta Sigma Theta na Zeta Phi Beta[emoji3] .
Unapendelea rangi gani wewe?
Kale kabinti kako nadhani AKA inakafaa zaidi [emoji6]
Wakati nami nilitaka nikuite uje unitafsirie hiki kisukuma kinachoendela humu, au ngoja nimtafute kui.
Umeanza vizuriii, ila hapo mwisho ndio umeharibu, hiyo 'out' ndio nimekupata, ndio kusema unatufukuza mimi, Hs na valey?Lakini atoto , naona humu ume batiza kabisa hii kuwa kisukuma, sikuwezi mbona! [emoji2]
Haya bhana, by the way shout out to you and your girl Heaven Sent
Na bila kumsahau wifi langu la nguvu Valentina [emoji8]
Wifi yangu jamani shout out ndo nini sasa? Umeamua kuungana na kaka zako kutuzodoa naonaLakini atoto , naona humu ume batiza kabisa hii kuwa kisukuma, sikuwezi mbona! [emoji2]
Haya bhana, by the way shout out to you and your girl Heaven Sent
Na bila kumsahau wifi langu la nguvu Valentina [emoji8]
Mama nimevumilia nimeshindwa.... Ukute wanapanga mpango mbaya hawa. Hebu kui na Honey Faith waje haraka
Umeanza vizuriii, ila hapo mwisho ndio umeharibu, hiyo 'out' ndio nimekupata, ndio kusema unatufukuza mimi, Hs na valey?
Huu unyanyapaa sio mzuri ndugu yangu.Hahaha!, atoto bwana am so done with you it's not even funny [emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu unyanyapaa sio mzuri ndugu yangu.
Kingreza mkomuo[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahah!
Heaven Sent njoo unisaidie bi mkubwa wako ananizidi kimo mbona! [emoji28] [emoji124]
Umenichekesha sana atoto kwenye hii conversation yenu na Valentina, mimi mbavu sina kwa kweli...Huu unyanyapaa sio mzuri ndugu yangu.
Kingreza mkomuo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hawa watu huwa wana vile vingreza mkomesho, utadhani wametusomesha khaaah!!! Bora paulo hajatokea kwakweli.Umenichekesha sana atoto kwenye hii conversation yenu na Valentina, mimi mbavu sina kwa kweli...
Angekuja Paulo Sergio De Souz kiyama kingesimama hapa kwenye huu uzi..
Mie nimeelewa baada ya kutafsiriwa kichwa cha habari na Heaven Sent, wanasema kuwa 'piga kelele nje' sasa sijui nje wapi, sijui nje ya jf au wapi, hayo mengine hata HS ni mgeni hajaambulia kitu.
I knew you were into this.
Kuna mmoja huyo alikuwa Spelman basi haishi habari zao hizi.