My dear, mie na hiki kingreza tunashindwana sehemu moja tu, kingreza kina sifa kikiona watu, yaani ndio kinagoma kabisaaa. Ila nikiwa mwenyewe aisee hata RRONDO haoni ndani, natiririka kama nimeshuka kutoka US leo.Yaani kwa kujitoa ufahamu tu, unastahili kombe la ushindi...lol! [emoji28] [emoji106] [emoji122]
Wifi usiwe na wasi, hawachomoki kwa mchaga hawa
Teh Teh tehMie nimeelewa baada ya kutafsiriwa kichwa cha habari na Heaven Sent, wanasema kuwa 'piga kelele nje' sasa sijui nje wapi, sijui nje ya jf au wapi, hayo mengine hata HS ni mgeni hajaambulia kitu.
Hahaha mliponifurahisha ni mliposahau kuendelea kutoa shout outs mkabaki mnawadiskas the sororirty sistaz.
Have to say though, they took me back to the fraternity days..mine was pi lambda phi...in the east coast!!! Good old days... [HASHTAG]#brothers4ever[/HASHTAG]
Oh oh and shout out to all ladies who still kept their character despite being in sororities!!!! I know how that can change people to the negativ.
Mie mnyaki sielewii[emoji125] [emoji125] [emoji125]Lakini atoto , naona humu ume batiza kabisa hii kuwa kisukuma, sikuwezi mbona! [emoji2]
Haya bhana, by the way shout out to you and your girl Heaven Sent
Na bila kumsahau wifi langu la nguvu Valentina [emoji8]
Kumbe hunitakii mema eeh!! Hata bia sijawahi kuonja, kibapa si nitavua nguo mwenzio[emoji134] [emoji134] [emoji134]Njoo hapa La Chaz sinza....nakununulia kibapa
Hutavua nguo, utaongeza kingreza mpaka ujishangae.Kumbe hunitakii mema eeh!! Hata bia sijawahi kuonja, kibapa si nitavua nguo mwenzio[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mmmh!! Sasa mwalimu wangu wa kingreza ndio unanishauri hivi jamani. Basi acha niongee kijaluo tu.Hutavua nguo, utaongeza kingreza mpaka ujishangae.
Tena bora asije huyo... Mambo ya kusemwa viluga hatutakiUmenichekesha sana atoto kwenye hii conversation yenu na Valentina, mimi mbavu sina kwa kweli...
Angekuja Paulo Sergio De Souz kiyama kingesimama hapa kwenye huu uzi..
Mie nimeelewa baada ya kutafsiriwa kichwa cha habari na Heaven Sent, wanasema kuwa 'piga kelele nje' sasa sijui nje wapi, sijui nje ya jf au wapi, hayo mengine hata HS ni mgeni hajaambulia kitu.
Mie mnyaki sielewii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mpwa na wewe tena jamani! KhaaaShout out to all my brothers and sisters out there in JF......
I love them all.....
[emoji6]
Mmmh nimepata na headache ghafla, nikiendelea kuwasoma ntapofuka macho kabisa. Waunge tu ndugu zako, maana ndo uwanja wako huu X-pozha barbieYeah right!, eti na wewe! [emoji2] [emoji28] [emoji28]