Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
My dear, mie na hiki kingreza tunashindwana sehemu moja tu, kingreza kina sifa kikiona watu, yaani ndio kinagoma kabisaaa. Ila nikiwa mwenyewe aisee hata RRONDO haoni ndani, natiririka kama nimeshuka kutoka US leo.Yaani kwa kujitoa ufahamu tu, unastahili kombe la ushindi...lol! [emoji28] [emoji106] [emoji122]
Wifi usiwe na wasi, hawachomoki kwa mchaga hawa