KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh nimepata na headache ghafla, nikiendelea kuwasoma ntapofuka macho kabisa. Waunge tu ndugu zako, maana ndo uwanja wako huu X-pozha barbie
C.c atoto
Hebu uwe unanisaidia tufanye mazoezi ya kukizungumza angalau tuzoeane, maana kingreza kimegoma kunizoea kabisa.Tehe!, teh!, ungejua tayari unanikomesha. [emoji2]
Aaah mpwa, yani nimefurahi utadhani umeniandalia ndizi na juice za siku ile lol. Mtu na mpwa wake miaka 100Shout out to you my one and only mpwa......
hahhhh looh,nmechekaaa mimi nipo na bilauri ya maji na likamusi nione kama nnaweza nikapatapo japo tunenoHebu uwe unanisaidia tufanye mazoezi ya kukizungumza angalau tuzoeane, maana kingreza kimegoma kunizoea kabisa.
Aaah mpwa, yani nimefurahi utadhani umeniandalia ndizi na juice za siku ile lol. Mtu na mpwa wake miaka 100
Man I tell you...it's so easy to get sidetracked when the AKAs are brought up!
I'm kinda besotted by them😀.
hahhhh looh,nmechekaaa mimi nipo na bilauri ya maji na likamusi nione kama nnaweza nikapatapo japo tuneno
Jamani usiniambie hata kamusi imeomba poo[emoji134] [emoji134] [emoji134]hahhhh looh,nmechekaaa mimi nipo na bilauri ya maji na likamusi nione kama nnaweza nikapatapo japo tuneno
Em ngoja kwanza jiraniHivi kweli jirani yangu hii lugha ndio imetugomea kabisaaaa!!
Hivi mentor mimi na wewe si ni wajukuu wa babu mmoja kabisa, haya mambo inakuwaje tena!! Au wamekwiba id yako[emoji134] [emoji134] [emoji134]Sure man, them AKAs with motley race...uummm!!!
..I still got a hanker for my african ladies though!
Hivi unadhani huwa tunaelewa, tunaunganisha matukio tu.Mbona yale ma english ya kwenye tamthilia mnayaelewa...!!?
Piga kelele.Em ngoja kwanza jirani
Shout ndo nini hapo?
Mungu atakulipa wewe kwa kutuambia wenzio tukapige kelele nje[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nyie ninangeni tu, malipo hapa hapa duniani...lol!
Hivi unadhani huwa tunaelewa, tunaunganisha matukio tu.
Ila kui una kesi ya kujibu, haiwezekani sie ndugu zako kabisaa alafu ukawa unatufanyia hivyo!!Nyie ninangeni tu, malipo hapa hapa duniani...lol!
Tatizo hapa hakuna picha ndugu yangu, basi nimebaki kuwa mtazamaji tu.Sasa na hapa si uunganishe matukio binamu.....!!
Wambie kaka zako wastufanyie hivo bana... Hawajua warembo tunahitaji mbembelezo na kupetiwa petiwa