..Nina hakika taarifa ya aina hiyo haijawahi kukusanywa. Mara ya mwisho kulikuwa na majedwali yaliyoletwa na Wizara ili kukusanyataarifa zitakazopelekea kufahamu hali ya ufundishaji wa masomo ya sayansi kwenye a) idadi ya waalimu, b) kiwango chao cha elimu, c) aina ya facilities zilizopo (maabara, etc.), d) vitabu vya kiada na ziada
..Kama unafanya project au research yenye ku-cover ukubwa huo (nchi nzima) ningekushauri ufikirie tena na kuchukua eneo dogo zaidi kijiografia ile iwe rahisi kukusanya hizo taarifa, angalau shule chache katika wilaya fulani na utumie taarifa hizo kutoa picha general ya nchi nzima (a sample)