Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
USAID was inn! Hiyo (inn) ni nini?
Ndio negative impact ya uwepo wa USAID kwenye Nchi za Kiafrika. Alikua anathibitisha madai yake.USAID was inn! Hiyo (inn) ni nini?
This shit sounds like "sizitaki mbichi hizi", she might be having a good point but saying it after the Trump administration cutting funds to the USAID the timing is very wrong and absurd.
An inn is a building mostly along the highway in rural areas that serves for lodging and food for travellers.USAID was inn! Hiyo (inn) ni nini?
Nyie wananchi wa kawaida ndio mtakao tesekaKuondoka kwa USAID kutawatesa CCM Zaidi, vituo vingi vya Afya, Vifo vya Wazazi, ARVs na mengine ilikua ni USAID ila zile firigisi za CCM ziliprint mabango na kujitapa kuwa ni Mama yao ndio kayafanya hayo. Wacha inyeshe tuone panapovuja
Ukawaida Wangu ni upi kwa mfano?Nyie wananchi wa kawaida ndio mtakao teseka
Hata Bashe tunasikia aneanza naye kutesekaNyie wananchi wa kawaida ndio mtakao teseka
Kama haupo kwenye tabaka la watawala wewe ni mwananchi wa kawaidaUkawaida Wangu ni upi kwa mfano?
Hakika kabisa Ndugu yanguKama haupo kwenye tabaka la watawala wewe ni mwananchi wa kawaida